Recent content by Makunga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kutoka NSSF

    Kwhy unakuwa unafuata au unaacha akaunti namba wanakuwekea wao? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kutoka NSSF

    Wangu hadi kafunga miezi minne, nimeamua ku surrender tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kutoka NSSF

    Khaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kutoka NSSF

    Kwhy process hapo zinakuwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajali: Mabasi ya Kampuni ya Burdan Tosha na BM Coach yagongana uso kwa uso eneo la Msata, Mizani

    Duuuuuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Masaa mawili baada ya Mange kusitisha promo ya Seduce Me, Zilipendwa yakamata #1 on Trending

    tena chuki za waz wazi kbs.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi kwenye Baraza la Mawaziri lililokaa leo, bila shaka mazungumzo na Acacia yameisha

    hv mbona kimya sana hata hatujui hili suala limeishaje.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ndani ya JF

    haya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ndani ya JF

    kesi tena,mweh. haya nimekuja.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana maskini vs wenye uwezo katika mahusiano

    Sio wote tuliotoka kwenye familia masikini tupo hivyo,wapo wengi wanajitambua na wala hawana ulimbukeni wa vitu ila tatizo siku hz hakuna wanaume wenye mapenzi ya dhati.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukipenda kweli ukatendwa au kuachwa utafanyaje?

    Cha muhimu ni kukubali matokeo, jikubali halafu tulia wala usiwe na haraka ya kuingia kwenye mahusiano mapya. Jipe muda lkn pia furaha yako ndio iwe kipaumbele chako. Baada ya muda utasahau na utakuja kujiona hata mjinga kwa kumlilia mtu asie jua thamana yako.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo nane(8) ya kufanya kumsahau mtu aliyekuumiza kwenye mahusiano

    Kuachwa Kuna maumivu yake jamani,hayo yanawezekana kwa mtu ambae km ulikuwa hujampenda sana. Cha msingi tujifunze kupenda kidogo.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kina dada mliozaliwa miaka ya 80 your reign is over

    Endelea kujidanganya hivyo hivyo. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinafanya mahusiano yadumu?

    Kweli mkuu,naiona sana hiyo.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanamke unakubali kuwa na lofa?

    Mmhhh mi wangu ndio anasifa km hizo ulizotaja. Lkn inshallah tunapendana na kusikilizana basi naamini Mwenyezi Mungu atajalia hayo mengine.
Back
Top Bottom