Mrejesho kutoka NSSF

Mrejesho kutoka NSSF

Katika mashirika ilibidi yaangaliwe upya na kuwekeza kwenye tehama ni Nssf.

Wafanyakazi wanapata tabu Sana na haya mashirika jinsi yanavyotenda kazi zake kwa paperwork, red tape, uvivu na kila baya.

Anayejua kosa la mfanyakazi anapotaka kuchukua mafao yake ateseke atueleze Mana haiingii akilini Hawa watu kusumbua wafanyakazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimefika ofisi za Nssf shinyanga kupata majibu ya dana dana za njoo kesho, baada ya kusotea mafao yangu kwa muda mrefu kilichotokea ni kwamba wametoa asilimia 33% ya basic salary yako ya mwisho hakuna cha fao la kujitoa wala kukosa ajira hivyo basi kama unafikiria kuacha kazi, tafuta njia mbadala, au kama ukiachishwa kazi usitegemee kupata mafao yako yote endelea kusubiri mpaka 55 au uanze kuchangia kwa hiari baada ya miezi 6 ya kupokea 33% ya salary!!! Haki ya mungu nyie NSSF mungu anawaona!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhy process hapo zinakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom