Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,030
Pesaaa ndo zinafanya yadumu vingine mbwembwe
Kweli mkuu,naiona sana hiyo.Ili mahusiano ya dumu lazima mmoja awe anajishusha(weak) unless kila sku ndan patakuwa panawaka moto.
Kabisa mkuu. Na hiyo haijalishi kwa sababu inawezekana mke na mume wote wakawa strong lakini kutokana na kujishusha kwa mmoja wao ni lazima mahusiano yawe ni yenye kudumuIli mahusiano ya dumu lazima mmoja awe anajishusha(weak) unless kila sku ndan patakuwa panawaka moto.
Wanaume wengi wanapenda mwanamke wa ndio mzee ukiwa na misimamo na mawazo chnya ammalizi mwezi mnakimbianaHivi ni kweli kwamba strong man lazima apate weak woman ili mausiano yadumu , Hivyo hivyo kwa wanawake lazima apate weak man ili mausiano yadumu ?
Natolea mfano. Mwanafunzi anayesoma stockholm Un.. akiulizwa swali factors for the poverty. Hawezi jibu kama wa mzumbe Un.Pesaaa ndo zinafanya yadumu vingine mbwembwe
Vijisenti