Recent content by Makuku Rey

  1. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Mboga mboga nyingi Zinapigwa sumu

    Siyo mbogamboga tuuu,Sumu Iko kila mahali,juice,soda,nyama ,PAPUCHI n.k,UKIWA MCHUNGUZI SANA UTAKUFA NJAA😆
  2. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Je, Pikipiki za Umeme (EV) ndio Mkombozi wa Kudumu dhidi ya Kupanda kwa Bei ya Mafuta Tanzania?

    Nasubiri zifike million 2 ndo niagize package yangu 🫡
  3. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Vijana wa Tanganyika wako tayari kufa wakipigania mbunye kuliko kufa wakipigania taifa lao😏
  4. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Bato la ,ridhiwani,makonda 2030

    Riz 1,hatokuwa raisi kwa miaka ya hivi karibuni! 2040✓
  5. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

    Maiti Haina kichwa?!!
  6. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Ofisi imenikatalia kwenda Mbeya kwa ndege kwa sababu ya ukubwa wa nauli - ATC sio lile shirika la Watanzania masikini alilolikusudia Magufuli!

    Pesa tu hakuna,ila ndege usafiri umekaa kitajiri mnooo! Biashara DAR kulala MBEYA.
  7. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Maswali 5 ya kujiuliza ktk Final submission ya Lissu

    Mkuu maswali ni mengi sana ya kujiuliza juu ya hiki kiumbe TUNDU ANT PASS LISSU na hayana majibu,mfano mi huwa najiuliza ALIWEZAJE KUSALIMIKA KWA ZILE RISASI ZOTE?! MUNGU WAKE NI MKUU SANA!
  8. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Uhamisho wa Wakuu wa wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri, Septemba 28, 2026

    Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe naye aondoke,sisi wananchi tumemchoka halafu mikakati imenuidhis ya kuiendeleza Rungwe yetu!
  9. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Kesi ya uhaini haipo hapo labda kama wanataka kufungua nyingine hiyo ya uchochezi SASA🤣🤣
  10. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania BASATA yamfungia Harmonize kufanya Muziki, Nandy atozwa Faini

    Hapa kweli Nandy kanivunjia heshima,ilibidi faini iwe million 5!
  11. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Dudu Baya hana mke wala mtoto: Tafakuri ya maisha yake ya jumla, usanii, na mustabali wa kioo chake cha jamii

    Ingawa sidhani kama tutashinda hii vita,ILA NAMUUNGA MKONO DUDUBAYA!
  12. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Siha mliwaza nini kumpa barua ya uhamisho mwalimu huku mkijua hakuna hela za kumwezesha kuhama?

    Barua ya kimkakati hii😅😅😅,halmashauri Wana zengwe sana.
  13. Makuku Rey

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ni powerful kiasi hicho kama anavyopambwa mitandaoni?

    Natamani sana kumfahamu vizuri mwamba huyu,kwa kifupi nataka niwe kama yeye!!
Back
Top Bottom