Recent content by makubhulo

  1. makubhulo

    Nimeitwa kwenye usahili wa BRELA. Je, ni masuala gani natakiwa nipitie?

    Ha ha ha akili unazitambua kwa kucoment jf? Mm nilikuwepo pale oral sema kama panel iko fair utafurahi ila kama ina wakuda haki ya nan lazima upasuke, wakati mwingine hz sahili mind set ni muhimu
  2. makubhulo

    Kuitwa kwenye uptitude test TPb benk

    Ngoja nimuulize mdau mmoja pale halafu ntawajulisha, ila kama wameita nafasi 20 jiandae kukutana na watu kama wote[emoji3][emoji3][emoji3]
  3. makubhulo

    Kuitwa kwenye usahili katika BRELA, ARU, TICD & MSC

    Wale tulio kuwa pale utumishi turudishe majibu, licensing officers mlikuwa mnatoka kwenye chumba kama mnakamuliwa jipu [emoji3][emoji3][emoji3] mwenyewe niliona nyota nikasema eeh Mungu baba ww ndiye ujuaye ya kesho nikachukua vyeti vyangu nikaondoka,
  4. makubhulo

    Kuitwa kwenye usahili katika BRELA, ARU, TICD & MSC

    Ndo hvyo lakini, licencing ni watu 24 manake kila nafasi moja watu 5 duh
  5. makubhulo

    RE-ADVERTISED: Nafasi za Kazi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro - NCAA

    Tayari wameita Sent using Jamii Forums mobile app
  6. makubhulo

    NAKUBALIANA NA UAMUZI WA KOCHA ZAHERA KWA ASILIMIA MIA MOJA

    Unaongea kwa kuwa kakolanya cyo ndugu yako, cyo kaka yako, hv vp ungekuwa ww baba yako ndo anafanya kazi bila mshahara miezi minne ungeongea upupu kama unaoongea hapo? Najua kiburi cha zahera anajua timu inashinda kwa mipango ndo maana anajua hata kindoki akidaka watashinda kwa mipango, sasa...
  7. makubhulo

    NMB job several position wameanza kutuma email

    Cna hakika lakini mm cv yangu nilisign kabisa na barua ila nmepata email ya kutokuhitajika ifikie mahala tujue moja kwamba wao wana watu wanajitolea huko ila wanatangaza geresha tuu Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
  8. makubhulo

    NMB job several position wameanza kutuma email

    Nami nmeipata email leo saa tani
  9. makubhulo

    TFF mchezaji wa 13 Simba?

    Kama ni hvyo hakuna haja hata ya kuwa na katiba,
  10. makubhulo

    TFF mchezaji wa 13 Simba?

    Timu kuwa na viongozi ni wajibu na haki. Kama tukiendelea na hii tabia basi ipo siku timu haitafanya uchaguzi miaka mia, chama cha soka hwatafanya uchaguzi eti hatuhitaji uchaguzi, au ipo siku watakatalia madarakani kisa hawataki uchaguzi
  11. makubhulo

    Nimeota Simba kashinda magoli mawili dhidi ya Nkana

    Kwamba beki 2 ni Hassan Kessy, labda wasimpange huo ni uchochoro kwa Okwi
  12. makubhulo

    NMB job several position wameanza kutuma email

    Aisee kumbe zoezi linaendelea
  13. makubhulo

    NMB job several position wameanza kutuma email

    Duh aisee Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
  14. makubhulo

    NMB job several position wameanza kutuma email

    Duh wacha na mm nichungulie ka-email Maana sasa hv bora kitu kingine kuliko email
Back
Top Bottom