Mtafutaji hachoki
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 470
- 399
Sawa
tayari mzigo angalia kama chujio limekuacha salamaKaka tujuze bas kama majibu wameshatoa maana walisema leo jioni.
Ndo hvyo lakini, licencing ni watu 24 manake kila nafasi moja watu 5 duhMkeka ujao nabet manake huku kwenye makampuni hakutabirik hakuna future siku yyte utaskia campun imefisilika huna kibarua unaanza zurura
Ndo hvyo lakini, licencing ni watu 24 manake kila nafasi moja watu 5 duh
Ndo hvyo lakini, licencing ni watu 24 manake kila nafasi moja watu 5 duh
Wale tulio kuwa pale utumishi turudishe majibu, licensing officers mlikuwa mnatoka kwenye chumba kama mnakamuliwa jipu [emoji3][emoji3][emoji3] mwenyewe niliona nyota nikasema eeh Mungu baba ww ndiye ujuaye ya kesho nikachukua vyeti vyangu nikaondoka,Mkuu umepita nn oral
Wale tulio kuwa pale utumishi turudishe majibu, licensing officers mlikuwa mnatoka kwenye chumba kama mnakamuliwa jipu [emoji3][emoji3][emoji3] mwenyewe niliona nyota nikasema eeh Mungu baba ww ndiye ujuaye ya kesho nikachukua vyeti vyangu nikaondoka,
huyu jamaa kama namuona alivyokuwa anaulizwa maswaliWale tulio kuwa pale utumishi turudishe majibu, licensing officers mlikuwa mnatoka kwenye chumba kama mnakamuliwa jipu [emoji3][emoji3][emoji3] mwenyewe niliona nyota nikasema eeh Mungu baba ww ndiye ujuaye ya kesho nikachukua vyeti vyangu nikaondoka,
750k
kama halmashauri mtu wa IT anaanza na TGS E. 940,000/= BRELA ndio 750,000/= duuuuhh maaana nimeona IT Scale yake inaanzia BRS 6.1 .