Nimeitwa kwenye usahili wa BRELA. Je, ni masuala gani natakiwa nipitie?

Broo kuhusu usahihishaji wa utumishi wanajitahidi sanaaaaaa (98%) wanafanya vizur kwenye usahihishaji, issue ni huyo mwanao unaemchukulia kama benchmark inawezekana pepa ilikua ya kawaida yeye akapaka rangi sanaaa wakat anatakiwa kusafisha na kuosha
 
Umemaliza Boss UTUMISHI usahihishaji wanajitahidi ila ukipaka Rangi sana Tatizo lingine.
 
Kupaka sana rangi

Hii kitu ni muhimu sana.Pepa za utumishi weka majibu ya maswali usijifanye we ni profesa kuandika mavitu meeeengi utafeli

Nawajua watu wengi tu wenye shule yao walifeli hizi pepa sio kama hawajui ila madoido mengi
 
Angalia sasa wenye akili zao hawakuitwa hawa wajinga,wapuuzi wameitwa. Tuwape maswali na majibu.
 
Angalia sasa wenye akili zao hawakuitwa hawa wajinga,wapuuzi wameitwa. Tuwape maswali na majibu.
Ha ha ha akili unazitambua kwa kucoment jf? Mm nilikuwepo pale oral sema kama panel iko fair utafurahi ila kama ina wakuda haki ya nan lazima upasuke, wakati mwingine hz sahili mind set ni muhimu
 
Back
Top Bottom