Recent content by makorongo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais umeamua kuchagua upande wa wanaokupa taarifa za uongo na majungu, muda utasema

    Lo Mzee badilisha mawazo yako waangalie wananchi wako tutakufa chakula hakuna mkubwa toka nje ya ikulu utaamini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

    Mh,! Hicho kichekesho Mkuu simba akikugusa kwa sharubu atagundua hadi mapigo yako ya moyo yapoje, usiombe ajali hiyo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kukufanya usipigwe risasi na majambazi ,usikabwe na vibaka hii hapa

    hiyo kali kamanda ingekuwa kweli mbona mauaji kwa njia ya risasi huko kigoma tusingesika ?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Obama na Michelle na Muonekano wa Wapendanao safiiiiiii!

    jamani wenzetu huo kwao ni kama utamaduni yaani wamezoea kubusiana na pia wanao upendo wa dhati ndo maana leo hii wazungu kutokana upendo wao tunawashangaa lakini wao wanao upendo kutoka moyoni
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Ajali JKT kona ya Mtongani Mbezi

    poleni wapendwa mliopatwa na masahibu hayo asubuhi hii
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nape, kila ulichoanzisha kinafeli kwanini hujiulizi?

    looooh poleni sana ninyi mnaojiita vijana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mapenzi ya huku vyuoni huwa yanadumu kweli?

    yote yanawezekana ila zaidi inategemea hasa ni vipi wapenzi hao wanategemea kufanya baada ya masomo yao, lakini walio wengi huishia kudanganyana tu kwani wengi wao wako ki-maslahi zaidi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Computer kwa bei chee

    unapatikaje?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kinana acharuka: Adai kampuni ni yake lakini meno ya Tembo si yake!

    Mimi ninashangaa sana Watanzania tunavyodanganywa kama hatujui nasi tunakubali na kulumbana tena kwa kutetea uovu kama mazuzu, hivi tangu lini ukaishi ndani ya nyumba unayoimiliki usijue kama ina mlango au dirisha? huyu kinana anahusika na anajua nini kilikuwa kinasafirishwa na kwa kiasi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

    pole bro lakini jambo la maana pamoja na kuhangaika sana, hebu usikate tamaa nenda mhimbili mtafute Dr massawe anaweza kukusaidia pole sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kamati tendaji BAVICHA kuunguruma mjini Morogoro

    lakini huyu aliyeleta habari hii ameifanyia upembuzi yakinifu au ni mmoja wa chama cha magamba? i don`t think that is true
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamati tendaji BAVICHA kuunguruma mjini Morogoro

    wanachadema mimi ninaamini viongozi wa chadema ni watu makini kwa kiasi kikubwa sana, sasa hii habari inanitia wasiwasi isije kuwa ni janja ya hawa magamba maana ni hodari sana kwa kuvuruga vyama vya upinzani~takecare
  13. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli anahitimisha Budget ya Wizara ya Ujenzi

    ukweli lazima tuukubali na pale panapohitaji sifa basi papewe sifa, huyu Magufuli ni mchapa kazi mimi nadhani alistahili apewe uwaziri mkuu huu ubabaishaji kwa baadhi ya mawaziri wachovu wangejitoa wenyewe,kaza buti mwana wa pombe MUNGU atakutunuku siku moja
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimefungiwa umeme jumapili je ni salama

    kama ulikwishalipa fedha na tanesco wanayo majukumu mengi kwa ajili ya wahitaji wengine wengi wamepata muda wa kukufungia umeme j`mapili nawe hupeipendi ck hiyo kwanini usiwazuie hadi j'tatu? lakini bora umpigie baduru masoud bana:A S confused:
  15. M

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba na Mwigulu live on Star Tv leo 16/6/2012, mada ni bajeti 2012/2013

    jamani ninaomba mniambie hawa jamaa katika star tv watarusha saa ngapi ili niwe mdau wa kipindi hicho muda na wakati ukifika
Back
Top Bottom