Nasikia wewe ndo umeachiwa mikoba na yule mtabiri mashuhuri Afrika Mashariki na kati aliyefariki ambaye alitabiri kuwa yeyote atakayempinga JK lazima afe. Wewe mrithi wake umekuja na utabiri huo wa Chadema kufa mwaka huu, subiri tuone ila tumekusikia mganga wa kienyeji.
Kama ndiyo hivyo, hii Chadema itakufa tu mwaka huu.
Vijana tufanye kazi.Siasa hizi za kijinga hazimsaidii kijana wa kule mtaani.
Wengine wameonyesha uwezo mkubwa kabisa wa kuwa obsessed na Ben Saanane...
Guys you can do better than this
Kama ndiyo hivyo, hii Chadema itakufa tu mwaka huu.
I wish ningemjua Tuntemeke, sijui yuko chama gani. kama yuko CDM naona atakuwa amekosea coz sijwahi ona ameandika mada yeyote inayolenga kuijenga CDM ila kuibomoa..Profesionally anapenda sana majungu..Anasabisha hata sisi ambao hatupendi siasa tuendelee kuichukia zaidi!!Duh Tuntemeke kaja na jina la Bashir!!! Nashukuru Mods wamegundua na kuunganisha post zake.
Hoja zako zote zinamhusu mtu mmoja tu? (Juliana). Unataka kutuambia kuwa baraza limekwenda kukaa Morogoro kwa ajili ya agenda moja tu ya kumjadili mtu? Hiyo siyo CHADEMA ninayoifahamu. Tafuta pa kupenyezea majungu hapo hapakufai.