Computer kwa bei chee

cicatrix

Member
Nov 7, 2012
59
0
hallo people, ...
Nina computer za kutosha, zimetumika kidogo na zipo katika hali inayoridisha kabisa..

Specification zake ni;
Pentium : 3 na 4
Processor : duo core 2.4, 2. 6, 2. 8
Ram: 1, 2 gb,
Harddisk : 80, 120, 150 GB
Dvd Rewriteable

Utapata pamoja na flat panel screen, keyboard na mouse, cables zake (power cords ) Vyote vikiwa BRAND NEW..

Pia utafanyiawa installation ya windows utakayoipenda, ubuntu au microsoft.
Pia utapata license ya microsoft ukiitaji.
Bei zake ni 350000tshs kwa set, maongezi kwa mwenyenia yanakaribishwa

Nyote mnakaribishwa maana mzigo umejaa tele

(CPU ndo imetumika kidogo , na vingine vyote ni VIPYA)

Interested, .....Call/text on 0776744420
 
Top Bottom