Recent content by makongo

  1. M

    I miss being in relationship

    umeshajirekebisha lkn baada ya yaliyokufanya uwe single?
  2. M

    Lawrence Mafuru amekera sana leo kuchanganya lugha wakati akihutubia

    kiswanglish kinakera sana..kama cha January Makamba
  3. M

    Huu ni uwendawazimu parcee

    Ujenzi unaendelea mbele..cha ajabu nini? Use alternative road.
  4. M

    Thierry Henry astaafu soka rasmi

    All the best TITI...one of the best strikers ever to be witnessed by my generation..most gifted footballer to ever play for arsenal.
  5. M

    Mdada unayeitaji mchumba, usiache kutizama hapa

    acha uzembe wa kutafuta mke kama unatafuta mfanyakazi..udomo zege utakuua..nenda katongoze.
  6. M

    Huyu ndio mpenzi nilie nae

    Dah ila na wewe mvumilivu kweli..kwa hali hiyo hebu tuambie umeshachepuka mara ngapi? maana lazima unahitaji mengi na hutimiziwi.
  7. M

    Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    Mwisho wa siku tutajua nani mtu nani tumbili..
  8. M

    Kipanya naye kwa uchokozi

    Hiyo katuni ni kaa la moto kooni kwa mafisadi sugu.
  9. M

    Kuna Moshi mkubwa kwenye eneo BOT [Bank of Tanzania]

    duh nchi hii ina majanga balaa
  10. M

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Magwiji wa soka wa muda wote..moja kati ya timu chache ambazo haziwadissapoint mashabiki wake..yani mashabiki wa Real Madrid hawajuti kuichagua hii timu..sio kama kina sisi wa.....................................
  11. M

    Moja ya Sababu ya Kenya kuwa Juu ya Tanzania

    Bora Yesu arudi tuanze upya..
  12. M

    Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

    kuna kitu kinaitwa kegel exercise for men..google upate majibu
  13. M

    Machangudoa wa Kitanzania wanaongoza soko la la Ukahaba China

    duh..au ndo wanajenga maghorofa huku bongo?
Back
Top Bottom