Mdada unayeitaji mchumba, usiache kutizama hapa

Mdada unayeitaji mchumba, usiache kutizama hapa

Nasubiria Pm na email zenu jamani bado kimyaa.
 
Umbo hubadilika...

Kweli aisee ila huku kwetu akishakuwa tinginya huwa harudi wachache ambao hawaipendi ile hali hukomaa kurudi kwenye wembamba, kuna ambao mbele za watu wanajifanya hawaupendi unene lakini mioyoni anaupenda kiana.
 
acha uzembe wa kutafuta mke kama unatafuta mfanyakazi..udomo zege utakuua..nenda katongoze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom