![]()
- SHARE PICTURE
+7
![]()
+7
Thierry Henry has become the best-paid pundit in English football by a distance after joining Sky Sports
Jamaa nilimu inspire sana, kati ya wachezaji waliokuwa hawajivuni saaaana huyu ni mmojawapo.
Asante Thierry Henry.
Jamaa nilimu inspire sana, kati ya wachezaji waliokuwa hawajivuni saaaana huyu ni mmojawapo.
Asante Thierry Henry.
Siyo aliku inspire?
Lugha za watu hizi jamani, au ulitaka kusema ulimu admire?
Siyo aliku inspire?
Lugha za watu hizi jamani, au ulitaka kusema ulimu admire?
Asante kwa kutafuta kosa (LIKE) kubwa, ila nlchokuwa namaanisha umekiweka, na bahati nzuri kama si mbaya hizi simu tutumiazo nazo zina ajizi unapoandika neno kabla hujamaliza yenyewe inakuwekea neno tayari, so safari inasonga mbele, FaizaFoxy
Hizo simu wote tunazitumia na siwezi amini ukiandika "admire" itabadili iwe "inspire", poor reasoning.
Kuwa makini zaidi unapoandika na unapojitetea, JF hachekewi mtu.
Siyo aliku inspire?
Lugha za watu hizi jamani, au ulitaka kusema ulimu admire?
Siyo aliku inspire?
Lugha za watu hizi jamani, au ulitaka kusema ulimu admire?
Huyu mwehu vipi? Kwani Henry hawezi ku inspire kijana wa kitanzania??
Kwani henry alikuwa hana life nyingine zaidi ya mpira. Ungetakiwa umuulize ameku-inspire kwa lipi sio kumrushia maneno na kejeli
Wewe Faiza akili yako haina akili na mshari sana !!