Huyu ndio mpenzi nilie nae

Huyu ndio mpenzi nilie nae

Watoto wa kike mkishakaribia umri ambao ninyi mnadhani ni wa kuolewa huwa mwawa wasumbufu mno...

Bi mkubwa mimi naamini kabisa kinachokusumbua ni fukuto la kuolewa, na sasa waanza kujiuliza kama upo na mtu sahihi au lah...

Kama ningelikuwa ndio huyo mwanaume wako, ningelikuambia mapema uchape lapa maana muda si mrefu unaweza kuumiza moyo wa huyo mwanaume...

Duu..cjawaza ndoa bado ila nimefikiria kama tuu ntaendelea kuwa nae huko mbeleni itakuwaje...am 22 na nna safari ndefu bado ingawa nawza kuwa mlezi wa familia
 
Mtoa mada wewe ni mchepuko! Pole sana ila hizo ni tabia ya mtu ambaye anahitaji burudani kutoka nje. Ukweli ni kwamba umechelewa mno kufikiria maisha yako ya kesho
 
Kwa hayo machache uliyoyaorodhesha hapa....haihitaji hata kuwa na degree kujua kuwa huyo mpenzi wako ni mtu wa aina gani......kimsingi ni kuwa huyo hawara yako ameshakiuka misingi na nguzo za upendo ambazo ni kujaliana, kuthaminiana na kusaidiana miongoni mwa wapendanao....kwa maana hiyo amepoteza sifa za kuwa mpenzi wako...na nitakuwa sijakosea kama nikisema kuwa huyo bwana hakupendi na haupo kwenye mipango yake isipokuwa amekufanya kama KIPOZEO....ninachokushauri ni kwamba usitoe hukumu ya upande mmoja huyu nae ni binaadamu huenda labda ana mambo yamemtinga so ndio maana yupo hivyo...tafuta muda muongelee hili swala mpaka mfikie muafaka....Vile vile inawezekana ikawa wewe pia bila kujijua ukawa ni sehemu au ni moja ya sababu ya yeye kuwa hivyo nakushauri pia na wewe ujiangalie vizuri pamoja na historia ya mahusiano yenu kwamba hiyo tabia imezuka tu hivi karibuni au ilikuwapo kabla na uliwezaje kuvumilia mpaka leo uje uone kuwa ni kero....maana kukaa kwenye uhawara kwa miaka mitatu ni mingi sana.....vile vile kumbuka muda ni bidhaa adimu sana ambayo ikishauzwa huwa hairudishwi kwa hiyo huna budi kuwa nao makini sana.....usipende kukaa na jambo muda mrefu bila kulitafutia ufumbuzi kwa huo muda unaoupoteza hautaupata tena....THINK BIG ,TAKE ACTION..........WELCOME JF........

Ahsante saaanaa..be blessed ntafanyia kazi.
 
Mtoa mada wewe ni mchepuko! Pole sana ila hizo ni tabia ya mtu ambaye anahitaji burudani kutoka nje. Ukweli ni kwamba umechelewa mno kufikiria maisha yako ya kesho

Hajaoa na mm cjaolewa..ko naweza kuwa mchepuko wake eeh????
 
Hili ndilo tatizo la kuwa kwenye uhusiano na wachepukaji wanao onjaonja kila kinachosimama.
Usingekuwa mtu wa kujaribu kila mwanaume usingejua kuwa huyo wako hawajui kukut...mba.
Tatizo ni wewe na umeishaonja maeneo mengi unakuja na visingizio vya kijinga.
Nenda kwa watakutoa out na kukufanyia hayo yote lkn uishi kwa presha muda wote.
Muache kaka wa watu na ulimbukeni wako
 
Mwanamke unayejielewa huwezi ukaruhusu mwanaume akuchezee kwa miaka mitatu mfululizo.....haya ni moja kati ya makosa wafanyayo wadada wakati wa uchumba.......kumuonyesha mtu tupu zako kwa sababu nyepesi nyepesi eti kwa sababu huwa anakurushia vocha na kukupa hela ya saluni inaonyesha ni jinsi gani usivyoijua thamani yako au ni jinsi gani usivyoijua thamani ya mwili wako...hali hii hupelekea mwanaume kukudharau kwa kuwa wewe mwenyewe pia umejidharau na hujithamini.....matokeo yake ndio haya simu hazipokelewi na mtu hakujali na hakuthamini.....chakula kitamu ni kile kilichofunikwa na sio kile kilicho wazi...........Vile vile sisi wanaume tunakawaida ya kuvithamini vile vitu ambavyo tumevipatia tabu............WADADA KUWENI MAKINI.........
 
Kwa mara ya kwanza nimeona umecomment zaidi ya msitari mmoja

kumbwe Khantwe hunijui vizuri wewe, anza kunifuatilia..... pale penye ushauri unatoa ya kweli vinginevyo ni fan.....
 
Last edited by a moderator:

kumbe ana miaka 25 tu, bado mnasafari ya kujifunza, wewe na yeye, ila sijapenda wewe unavyomlalamikia yeye pekee kana kwamba suala la mapenzi na mahusiano yeye ndio mwenye kuyaendesha, hili ni sula la pamoja sio la ubinafsi....
 
Dah ila na wewe mvumilivu kweli..kwa hali hiyo hebu tuambie umeshachepuka mara ngapi? maana lazima unahitaji mengi na hutimiziwi.
 
jitu zima halilii linataka kubembelezwa uwe unalia ili ubembelezwe

hapa kajibu mkurya
huyu bidada hajielewi anapenda maisha ya kwenye movie,kwataarifa yake hampendi thats why mshikaji hamuoni jipya kwake
 
Kwa sasa utajua malezi yake angalia baba yake alikuwaje kwa mama yake watu wengine wana matatizo ya kisaikologia na makuzi na dhana aliyonayo juu ya mwanamke na mpenzi mtafute mama yake ukaye naye ujue jinsi alivyotunzwa na alivyokuzwa. Pili jiwekeeni muda wa mazungumzo serious simu zenu zikiwa zimezimwa utafiti uliotolewa jana imeonyesha wapenzi wamepunguza kwa asilimia 60 kuongea wenyewe na kuongea na rest of the world. Muweke wazi kwa upole kwamba mbona uoni future sio kwa kuoji bali kwa taratibu mkiwa unamuhakikishia kuwa unampenda.
 
Miaka mitatu yote hiyo ladha ya papuchi iko wapo
 
Kwa malalamiko yako nimeamini unajielewa, ila naona ameshakupa ishara ya wewe kuondoka. Je, umewahi kuongea naye juu ya hayo yote?
 
Many would at least stay if they got the Big O.

Sijajua upo nae kwa ajili gani hasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom