utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Dec 22, 2014 #2 Kwaufupi hakuna njia
Miss Neddy JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 14,684 Reaction score 8,760 Dec 22, 2014 #3 utafiti said: Kwaufupi hakuna njia Click to expand... wameziba kote tutapita wapi sasa?
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Dec 22, 2014 #4 miss neddy said: wameziba kote tutapita wapi sasa? Click to expand... Napaki hapo hapo
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Dec 22, 2014 #5 NAPITA kwa juu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,144 Reaction score 3,848 Dec 22, 2014 #6 Hizi ndo lugha za barabara yaani kila mtu hapo anaelewa kwamba hakuna njia hata kama watu wa kutoka dunia yote wangekuja wataelewa
Hizi ndo lugha za barabara yaani kila mtu hapo anaelewa kwamba hakuna njia hata kama watu wa kutoka dunia yote wangekuja wataelewa
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,047 Dec 22, 2014 #7 Kama vipi rudi ulikotoka!
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,047 Dec 22, 2014 #8 mshana jr said: View attachment 212921 Click to expand... Mkuu isomeke: Huu ni uwendawazimu Per se!
M makongo Member Joined May 23, 2011 Posts 53 Reaction score 9 Dec 22, 2014 #9 Ujenzi unaendelea mbele..cha ajabu nini? Use alternative road.
SupuyaPweza JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 914 Reaction score 472 Dec 22, 2014 #10 Sibonike said: Kama vipi rudi ulikotoka! Click to expand... Hapo naona kuna mshale unaoonesha hata kurudi ulikotoka hairuhusiwi!..
Sibonike said: Kama vipi rudi ulikotoka! Click to expand... Hapo naona kuna mshale unaoonesha hata kurudi ulikotoka hairuhusiwi!..
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,560 Reaction score 41,521 Dec 22, 2014 #11 hapo ndio umuhimu ya kuchepuka unapoonekana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,393 Reaction score 857,571 Dec 22, 2014 Thread starter #12 Simply ingeandikwa hivi NO WAY THOUTH or ROAD CLOSED
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,661 Dec 22, 2014 #13 Hapo ni NYUMA GEUKA ..