Recent content by Makolate

  1. M

    JamiiForums Tanzania Saluni zetu(Barber shop) ni salama kiasi gani dhidi ya maambukizi ya Ukimwi?

    Hii imezibitishwa ndugu? Naomba kufahamu zaidi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, madaraja ama vyeo kupanda Novemba?

    Ushafika nimwezi huu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, madaraja ama vyeo kupanda Novemba?

    Hatari yaani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, madaraja ama vyeo kupanda Novemba?

    Dada yangu imebidi nicheke kwakweli hayo mssikio kuna ukweli flani. Tumeathirika kisaikolojia hali ngumu sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, madaraja ama vyeo kupanda Novemba?

    Wakuu naomba kuuliza je nikweli baadhi ya watumishi wa umma watapandishwa madaraja mwezi huu. Nauliza hivi kwakuwa wapi wanaosema Mhe.Rais atapandisha madaraja mwezi huu kwa watumishi elfu 59 na ushee.... Je nasi waalimu tutabahatika kupanda vyeo. Hali ni ngumu sana wadau. Ni mm mwalimu mtiifu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke auawa kinyama huko Rukwa

    Dah
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa bei mpya ya vifurushi vya azamtv

    huu sasa ni kuumizana mnapandisha kwani kuna ulazima gani wa mtu kulazimishwa kuangalia hiyo channel. mtapoteza wateja bora kuwa na startimes sasa
  8. M

    JamiiForums Tanzania TOYOTA CARINA TI INAUZWA

    NAMBA T 711 DEH CC 1500 BEI 8.5ML KWA MTEJA AMBAYE YUPO SERIOUS MAELEZO ZAIDI NAMBA 0786855280
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matamko ya upandishwaji wa madaraja kwa watumishi wa umma

    HABARI NI MUDA SASA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KUPANDISHWA VYEO WANASUBIRI KWA HAMU. WENGI WALIJIPA MOYO MWEZI HUU WA SABA MAMBO LABDA YATASOMA LAKINI HAMAD MWEZI UMEFIKA SALARY IPO VILEVILE, HAKIKA NI MAUMIVU MAKUBWA SABABU ILISHAZOELEKA KUPANDA NI SALARY YA JULY TUMEWASIKIA VIONGOZI WETU...
  10. M

    JamiiForums Tanzania MATAMKO JUU YA UPANDISHWAJI WA MADARAJA KWA WATUMISHI WA UMMA

    HABARI NI MUDA SASA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KUPANDISHWA VYEO WANASUBIRI KWA HAMU. WENGI WALIJIPA MOYO MWEZI HUU WA SABA MAMBO LABDA YATASOMA LAKINI HAMAD MWEZI UMEFIKA SALARY IPO VILEVILE, HAKIKA NI MAUMIVU MAKUBWA SABABU ILISHAZOELEKA KUPANDA NI SALARY YA JULY TUMEWASIKIA VIONGOZI WETU...
  11. M

    JamiiForums Tanzania UTUMISHI: Hakuna nyongeza ya msahahara kwa sasa, tamko la Rais bado linafanyiwa kazi

    Je hii inamaanisha Hata walitakiwa Kupanda vyeo hawatapanda? Naomba kueleweshwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kupanda vyeo mwaka wa fedha 2017/18

    Habari wana jamii forum. Naomba kuuliza Je serikali itapandisha vyeo/madaraja kwa wale ambao walipaswa kupanda mwaka jana. Kwayeyote anayejua anifahamishe. Asante
Back
Top Bottom