kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,595
Kwa kweli jitihada za serekali kupambana na maabukizi ya ukimwi zimepungua tofauti na serikali ya Mh Mkapa ambapo zilionekana jitihada za dhahiri kuanzia hotuba za Raisi, matangazo, vipindi maalum vya redio na TV, matamasha n.k.
Kwa kipindi kile ilikuwa rahisi kuelimisha watu wasichangie vifaa kama nyembe na sindano maana uwepo sa salum za kisasa ulikuwa mdogo!
Kuibuka kwa saluni za kunyolea nywele na ndevu kuna usalama gani kwa watumiaji wasipate maambukizi ikitegemewa mashine ni moja ya vifaa vyenye ncha kali?
; vinyozi wa saluni hizi wana elimu ya kutosha jisnsi ya kudhibiti maabukizi zaidi?