Kuhusu kupanda vyeo mwaka wa fedha 2017/18

Habari wana jamii forum. Naomba kuuliza Je serikali itapandisha vyeo/madaraja kwa wale ambao walipaswa kupanda mwaka jana.

Kwayeyote anayejua anifahamishe.

Asante
Niongezee kidogo mkuu

Na wanaopaswa kupanda mwaka huu na wao watapandishwa??
 
Hakuna uhakika juu ya hilo...
Watumishi wengi tumebaki njia panda, kwani zoezi la kuhakiki VYETI lingali linachanja MBUGA..!

Nadhani majibu ya hili (kwa uhakika) tungesubiri JULY ipite, maana kama ni mwaka wa SERIKALI/FEDHA bajeti tayari imesha somwa.

Tusubirie MIUJIZA...
 
Kichaa kapewa tutanyooshwa sana awamu hii, Wameanza uhakiki tena nadhani hadi 2018/2019 au 2019/2020
 
Back
Top Bottom