Recent content by Makamee

  1. Makamee

    Upangaji wanafunzi uvivu UACHWE

    Kama itakua nimekuulewa vyema ,, Haiwezekani mtoto ambaye ndani ya matokeo yake kuna masomo mawili ana B halafu apangiwe shule ya vipaji. Kwa mujibu wa Tamisemi wanafunzi hupangiwa shule kulingana na viwango vyao vya ufaulu. Waliofaulu kiwango cha juu hupangiwa Vipaji maalum, Wanaofuata...
  2. Makamee

    Mke hataki ndugu zako, utafanyaje?

    Kama mtoto anasoma shule za serikali na umesema ada bure, Nafikiri msaada alioutafuta ni wa chakula tu au sio? Asaidiwe akiwa huko huko kwao unarundika ndugu wanini
  3. Makamee

    Mzazi wakati unasomesha usisahau kuwekeza kwaajili ya kesho yako

    Kwa ufupi unataka kusema nini? Tanzania elimu ni bure kwanini uhangaike kupeleka shule za private.
  4. Makamee

    Hali ya kutokupenda ujulikane wewe ni kabila gani maofisini ni uzalendo au ni usaliti?

    Kwani kuna uhusiano wa kabila na mtu anapozaliwa?? Watoto wetu wanazaliwa Amana na Muhimbili haya tuambie kabila gani hao?
  5. Makamee

    Makosa kwenye kuchagua Wachumba yanavyotugharimu sana

    Hakikisha umeyafanya hayo unayoita hobby kabla hujaingia ktk ndoa,, Ndoa ina formular ngumu sana! unaweza usikutane na hivyo ulivyotarajia. Usikariri
  6. Makamee

    Muigizaji Sophia Kanumba yuko anasoma Form 5 Nchini Australia

    Mnapata wapi muda wa kusikiliza umbea asubuh yote hii
  7. Makamee

    Kupandishwa cheo sio hisani

    Nani kakuambia askari ni mtumishi wa umma? Uliza vizuri
  8. Makamee

    Ummy Mwalimu acha kuwahadaa Watanzania wewe sio mwadilifu

    Wewe ni jinsia gani? wakike au wakiume? Hujui kua kiongozi anaweza kua na akaunt Social media akaamua kuajiri mtu wa kuziendesha? Umekaa kimajungu majungu tu,Fanya kazi dada acha umbea
  9. Makamee

    Jinsi ya kujinasua kutoka katika jela ya nyumba za kupanga

    Ni ndefu sana kwa kiwango cha kusoma habari ktk social media
  10. Makamee

    Mwendokasi na ujinga wa uendeshaji

    Rufiji dam, Hebu relax, elezea kwa upole acha panic, Tatizo nini
  11. Makamee

    Kuna kitu nimeshtuki kuhusu tume ya uchaguzi kwenye vitambulisho

    1.Vipi sheria inaruhusu mpiga kura kumiliki kadi zaidi ya moja za kupigia kura? 2.Je kadi ya mpiga kura ni mali ya nani?
  12. Makamee

    Tiba ya maumivu ya kiuno kwa mtoto wa kike

    Pole dada,,Unafanya shughuli za kusimama/kukaa kwa muda mrefu? Ulishawahi kupata ajali? Vipimo gani ulivyowahi kufanyiwa
  13. Makamee

    Msaada wa mawazo tafadhari.

    Msomi wa diploma hujui muskabali wa elimu yako? Vijana wa kileo mkoje?
  14. Makamee

    Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

    Itv, EAtv, nazo hazipatikani
Back
Top Bottom