Recent content by makaj

  1. makaj

    Kuhusu Lissu, Rais wa TFF Wallance Karia aomba msamaha?

    Mkuu huenda yupo sahihi, maana kila page kashambuliwa sana huyo mwenyekiti wa TFF pita page ya shafii dauda pale instagram..ona comment karibu 2k zikimnanga Walace Sent using Jamii Forums mobile app
  2. makaj

    Maneno kama haya toka kwa mpenzi wako ni Mkuyati Tosha kabisa. Wanawake hamjui tu.

    Mtu anataka 30k umpe lkn when comes tu papuchi kuisugua anasema hatujazoena !!! Shubamitii Sent using Jamii Forums mobile app
  3. makaj

    Mpenzi wangu anakwepa kupima nitumie njia gani ili anielewe?

    Tumieni kondomu bwana, au kila mtu akapime kwa wakati wake....mkiwepo wote halafu akawa nao si utamnyali toka hapo maabara ndio kibuti kinaanzia, sasa imagine awaze kuambukizwa, awaze wewe utamtangaza, awaze kaachwa kisa ukimwi. Si mtazika siku 2 huyo? Ndugu yangu mimi najijua kabisa mahusiano...
  4. makaj

    Kama wajijua your a gentlemen comment hapa

    Kwa comment hii am I gentlemen kumbe Sent using Jamii Forums mobile app
  5. makaj

    Hali ya Simba SC ni mbaya sana, Mo Dewji anatapeliwa! Mashabiki tuchukue hatua

    Mashabiki wa simba mbona hamna shukran nyie? Ni nini lakini? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. makaj

    Kwanini ukimpenda mdada kabla ya yeye kukupenda anakunyanyasa

    Aisee hii ya kunyanyaswa kisa kupenda inauma, na ule msemo maarufu humu kwamba wanawake wanajielewa wenyewe sana nimeamini! Imagine mtu kakutafuta yy , kasema kakumiss yeye mwenyewe, alaf unajua zile ulitaka kuzila kisa alikukaushia kupokea na kujibu meseji, basi unahis labda kabadilika...
  7. makaj

    Mwanaume kutongoza kwa muda mrefu ndiyo ishara ya penzi la dhati?

    Hiv na mwanamke ambaye umemtongza lkn hajibu kama kakubali au kakataa, ukimuuliza unajua nakupenda? Anajibu ndio najua, vi elfu kumi vyako anapokea, ukimcheki Mida fulan jion anarudi home atakusubir fresh........... Tatizo ni pale ukaomba umeet nae kama Mida ya usiku kidogo, hapo ndio hajib...
  8. makaj

    SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

    Matokeo vipi bob Sent using Jamii Forums mobile app
  9. makaj

    Kufuatia Ziara ya Tundu Lissu Kuinganga Serikali huko Ulaya, Msemaji wa Serikali naye apite huko kuweka mambo sawa

    Imagine mtangazaji awe upande wa Lissu, Lissu mwenyewe awe upande wake. Sasa hapo tungeelewa nini au nini ingekuwa dhima ya hayo mahojiano? Kwa sababu inteview haiukushilikisha upande wa watuhumiwa basi kwa vile mtangazaji alivyo play vile , amefanya kuwe na equal ground, na inteview haijawa...
  10. makaj

    Kufuatia Ziara ya Tundu Lissu Kuinganga Serikali huko Ulaya, Msemaji wa Serikali naye apite huko kuweka mambo sawa

    Wew Mkuu ambacho hujaelewa ni unafikiri yule mtangazaji kamkomoa lissu kwa maswali magumu kumbe ni jinsi tu watanzania tulivyo zoea ubabaishaji, yule kafanya professional kabisa na Lissu alistahili maswali yale. Vivyo hivyo Dr wako ataulizwa maswali magumu ambayo baada ya hapo tutasema aliegemea...
  11. makaj

    Wanawake semeni ukweli, usawa huu kuna mwanaume wa kukupa Tsh. 30,000?

    Wew kwa kaliba yako huwezi Kutana na mwanaume zaidi ya wavulana tu. Hi chai na vitumbua Sent using Jamii Forums mobile app
  12. makaj

    Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    It was real hard talk ......!!! TL kujitahidi sana vile vile mwandishi kajitahid sana kumbana , sio sababu ulipigwa basi uulizwe maswali mepesi au kupewa pole kwenye inteview!!! Mi naona imemjenga zaidi TL kama mtu mpangua hoja hata inapokuwa kabanwa, mwandishi alikuwa full detailed bila...
  13. makaj

    Paul Makonda amtaka Tundu Lissu kurudi Tanzania haraka sana

    Hiyo ni yeye kweli, kuandika kupitia official Instagram yake @baba_kegan Sent using Jamii Forums mobile app
  14. makaj

    Ten Years Challenges special thread, tupia yako

    Bado sijaelewa rudia boss kufafanua Sent using Jamii Forums mobile app
  15. makaj

    Licha ya sababu hizi, bado wanachuo wengi hawapo tayari kuwa wajasiliamali. Tatizo ni nini?

    Kupitia Kwa msemaji wa serikali, mwanzo wa mwaka 2019 alitoa taarifa inayoonesha watu waliopata kazi serikalin. Takwim zikiwa ni watu 24000 ndio walipata ajira kweny kada ya afya, Na 40000 kweny kada ya uwalimu, lkn nafasi 6099 zilijazwa hiyo ni ndani ya miaka mitatu ya jpm. Lkn nilipitia...
Back
Top Bottom