Wanawake semeni ukweli, usawa huu kuna mwanaume wa kukupa Tsh. 30,000?

laki tisa jamani..na bado kaniahidi kunipa 1.5 M...

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hapa nimejua kwamba kumbe ndo wewe mwenyewe.

Sasa mpaka ahadi niliyokupa unaileta huku?

Sawa tupo tunaotoa hizo,ila sasa ndo unajionesha namna hii unakuja kunianika?

Hizo laki 3 nilixokupa unasema laki 9 aisee ntskuwa nakutumia vocha tuu.

Mtu huna siri khaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom