Mpenzi wangu anakwepa kupima nitumie njia gani ili anielewe?

Habari wadau,
Mpenzi Wangu mpya ananikwepa Kila nikimwambia kuhusu kupima afya zetu .

Nitumie njia gani ili akubali kabla sijachukua maamuzi ya kuachana nae ???

Karibu kwa mjadala ........

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka akapime ili ajijue afe kwa mawazo??? Heri hivyo alivyo asijijue ataishi miaka mingi...(kama anao) ila anaweza kua hana pia sema uoga mkuu sio kazi rahisi kusubiri majibu .....tumbo la kuhara linakuja ghafla si mchezo
Binafsi nimepima Mara 6 , sipimi tenaaa hata niambiwe kuna nini sipimi ng'o nimepona huko nyuma Mara paaap time hiyo naenda kuambiwa mama unao akuuuu

Nenda nae taratibu kupima hawaambiani tu kama wanavyoambiana sherehe inabidi ajiandae kisaikolojia kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kizuri kama ukweli

Mkalishe chini mwambie ni kwa faida yenu kwa faida yake pia ni muhim kupima na kujijua status za afya zenu zinawasaidia kuzidi kua makini

Mueleweshe atakuelewa ni woga tu unamsumbua au kuna sehem aliingia na mtu aliekua tayar ameupata

Akikataa bas akua utakachoona ni sahihi kwako.
 
Sasa unapima ili iweje? Mie ntapima na mke wangu tu ila sio vinginevyo.
 
Unapim na mtu halafu haumuoi sasa ndio unakuwa umefanya nini aisee. Pima na mtu uliemuoa tena uzuri mnapima mkianza uzazi tu pale ili kuweka afya za watoto salama. Kama kuna aliewaka basi anaanza minjingu freshi tu hamna udasi. Sasa kupimana ovyo ndio mwisho unakutwa nao mko kwenye u hawara mnaachana kisha kinachofuata ni matangazo tu.

Bas ukiweza kupima na mtu unayetaka kumuoa lazima uiepuke zinaa, ukae nayo mbali usije angukia kubaya kujua afya yako ni muhim sana inakusaidia unakua makibi zaidi kuliko mwanzo
Unapim na mtu halafu haumuoi sasa ndio unakuwa umefanya nini aisee. Pima na mtu uliemuoa tena uzuri mnapima mkianza uzazi tu pale ili kuweka afya za watoto salama. Kama kuna aliewaka basi anaanza minjingu freshi tu hamna udasi. Sasa kupimana ovyo ndio mwisho unakutwa nao mko kwenye u hawara mnaachana kisha kinachofuata ni matangazo tu.
 
Sasa unapima ili iweje? Mie ntapima na mke wangu tu ila sio vinginevyo.
Kwani unadhani nilikua napenda!??? Mda mwingine nilikua najikuta nimeshafika kwa daktari namwambia anipime hata sijui nilikuaje na hapo namwambia anitoe damu aweke kwa kipimo anikabidhi akiona naondoka kimyakimya ajue ninao asiniite .....
Sema kwenye hizi maabara hawana noma basi wananipa kipimo nasubiri nacho majibu mkono ni.

Ila sikuhizi sipimi ng'o ...japo siku nyingine akili kama ile ya kuibuka maabara inanipata ila dah....acheni tu kupima!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapim na mtu halafu haumuoi sasa ndio unakuwa umefanya nini aisee. Pima na mtu uliemuoa tena uzuri mnapima mkianza uzazi tu pale ili kuweka afya za watoto salama. Kama kuna aliewaka basi anaanza minjingu freshi tu hamna udasi. Sasa kupimana ovyo ndio mwisho unakutwa nao mko kwenye u hawara mnaachana kisha kinachofuata ni matangazo tu.
Una akili sana safiiiiii
Kwanza kupima Pima huku wakati dawa ya hilo janga haipo ni kutafuta balaa tu ....sema binadamu wabishi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawapima wangapi? Huyu ni mpenzi wako 'mpya' je wale wa zamani nao uliwapima? Ukiachana na huyu mpenzi ajaye naye mtapima? Ili ulipe lazima kuwe na 'rationale' ya kupima. Kabla kupima unapaswa umfahamishe sababu zinazowafanya muenda kupima. Kama sababau hizo hazina mashiko hawezi kupima hata iweje! Na sio huyu tu wengine wengi hawatapima kwasababu hawajui 'rationale' ya kupima, hata wewe mwenyewe hujui!
 
Tumieni kondomu bwana, au kila mtu akapime kwa wakati wake....mkiwepo wote halafu akawa nao si utamnyali toka hapo maabara ndio kibuti kinaanzia, sasa imagine awaze kuambukizwa, awaze wewe utamtangaza, awaze kaachwa kisa ukimwi. Si mtazika siku 2 huyo? Ndugu yangu mimi najijua kabisa mahusiano niliyo pita, last time bila kondomu ilikuwa 2011 baada ya hapo ikawa kondomu, mpaka 2017 nilido bila kondomu, baada ya hapo ni kondomu tu na hawa watu niliopita nao nina uhakika fresh coz mmoja mpaka ana watoto.... mwingine bado anasoma... Lkn when comes tu kupima UKIMWI nakula mita, sasa juzi hapa nilipata mpenzi et oh , tukapime kwanza....lkn toka tufahamiane yy ndio kila siku mafua...!!! Af mim na kimwili chang kidogo nipo hata sikumbuki ndani ya miaka kumi na tano iliyopita niliumwa lini, sasa nipime ili iweje? Shenzi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unadhani nilikua napenda!??? Mda mwingine nilikua najikuta nimeshafika kwa daktari namwambia anipime hata sijui nilikuaje na hapo namwambia anitoe damu aweke kwa kipimo anikabidhi akiona naondoka kimyakimya ajue ninao asiniite .....
Sema kwenye hizi maabara hawana noma basi wananipa kipimo nasubiri nacho majibu mkono ni.

Ila sikuhizi sipimi ng'o ...japo siku nyingine akili kama ile ya kuibuka maabara inanipata ila dah....acheni tu kupima!???

Sent using Jamii Forums mobile app
We una moyo wa kipekee aisee. Mie hupima punde nikiachana na mtu. Hio biashara ya kupima ovyo kama vile kuna tuzo za upimaji waiii!
 
Back
Top Bottom