Hivi kuna tofauti gani kati ya muumini wa dini na mwanasiasa? Mdini ni mtu wa namna gani? Mimi James nikimwambia Bakari "wewe ni muislam nakuwa mdini?"
Kwa wapenzi wa filam, kuna filam ya kinaijeria inaitwa "My Love" ilichezwa na Ramsey Nouah. Kuna mzee mmoja alitoa ujumbe mzito kwa mwanawe, "MAKE HER LOVE YOU". Simple minded wanaweza kuniona niko nje ya topic, lakini hii ni msg kwa Mulongo and Company, "Make them love you".
Standing to be corrected, kati ya SAJUKI na Michael Jackson ni nani aliyekuwa msanii aliyeiletea nchi yake sifa kamataifa? Hivi Barack Obama alihudhuria mazishi yake? Naomba kukumbushwa.
Hii unaita kura ya maoni? Au ni mawazo ya wanachama wa JF? Is it open, reachable and fair? Unaweza kutumia vigezo vya kisayansi kuthibitisha matokeo yake? Kwa facts zote, hii si kura ya maoni. Sababu ni kwa ajili ya watu fulani wachache katika jamii, wenye malengo maalum kwa sababu maalum...
CHADEMA ni noma!!!!!
Wamechochea inflation
Wamwchochea ukame
Wamechochea ukosefu wa ajira
Wamechochea kufa kwa viwanda
Wamechochea kuhamishwa wazawa migodi kupewa wagawa noti
Wamechochea mataji kukwepa kodi
Wamechochea mpaka nchi ikawa na maisha magumu bora
Wamechochea weeeeeeeeeeeeee...
Tusipokuwa makini Pwani yooote itakuwa Zanzibar (Miliki ya sultani), kaskazini yote itakuwa kenya, Kigoma itakuwa sehemu ya burundi, Kagera ni sehemu ya Uganda, Rukwa itakuwa ya wazambia, Mbeya itakuwa ni malawi, Mtwara sehemu ya msumbiji. Wamalawi wamelianzisha hili through Banda, after Banda...
Ama kweli ukistaajabu ya Mussa ........ Hiyo hoja yako imepata huo utakatifu lini? Yaani umepagawa mpaka unajivika sifa ya utukufu, khaaa!!! Ati wewe usie mkamilifu unajitwika utakatifu kwamba hoja yako ni takatifu? Ama kweli mwisho wa dunia u karibu.
Sishangai na sitoshangaa kusikia kauli mufilisi kama hizo kutoka kwa viongozi walioshindwa kuongoza. Njaa hutulizwa na shibe na si kauli tamu wala za kutishia, kwani kila kitisho huzoeleka. Hao polisi wakuwakamata walimu, wanashibisha matumbo yao kwa fedha za laana na mali zilizopatikana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.