Recent content by MajorOne

  1. MajorOne

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu amekiri kunisaliti

    mimi nakushari, usilipe kisasi, mwachie Mungu afanye kazi yake
  2. MajorOne

    JamiiForums Tanzania Speech ya Magufuli

    kwani jamaa wameshamchagua???? kiongozi gani ccm ana sifa za kuwa raisi ambaye sio fisadi au ambaye hajawah kukumbwa na kashifa za ufisadi??? wakimchagua magufuri itakuwa powaaaaa.. hakuna mtu aliyekamilika duniani..ongea na mazuri ya jamaa naamini 90% jamaa yupo safi na anafaaa kuwa raisi...
  3. MajorOne

    JamiiForums Tanzania The craziest national dishes in the world, Some of which could kill you

    Hapo ni kumbikumbi na miguu ya kuku...
  4. MajorOne

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Acha upu..mbavu wewe!! Msaidie mwenzio. Hakuna mtu kwenye dunia hii ambaye hajwh kupiga punyeto, labda watoto... mpe tu ushauri jinsi gani wewe mpaka sasa hivi hujawahi kupiga punyeto na umetumia njia zipi.. sio unatoa laana za kijinga jinga..
  5. MajorOne

    JamiiForums Tanzania Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

    Halafu kulikuwaga na katabia kama mtu amekuzid matani.. akikutania unamwambia mwenyewe au mara mbili yake.. hahaahhahahahaha
  6. MajorOne

    JamiiForums Tanzania Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

    Domo kubwa chapati ukunji.. twende twende sasa.. hilo nimelizid..
  7. MajorOne

    JamiiForums Tanzania Amenifa nijikute nashika nyeti zake huyo dada

    Kama kauchuna, basi usirudie tena.. kama unataka nyeti zake muombe tu
  8. MajorOne

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu kijana wa jirani nimfanyeje? Kila msichana wa kazi wangu anampa mimba

    Sio mbaya kaka.. unapata wajukuu mapema
  9. MajorOne

    JamiiForums Tanzania Komredi Mugabe Aukataa Mkono wa Mfalme wa Zulu

    Safi sana, yaani wasouth nawachukia
  10. MajorOne

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Taifa hatari duniani kusafirisha madawa ya kulevya

    Nataman hii sheria iwepo Tanzania
  11. MajorOne

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Ni ipi dawa ya kutibu maumivu ya jino bila kung'oa?

    Sijawah kuvumilia maumivu ya jino zaid ya masaa 12. ,jino linauma sana mimi huwa nayatoa, yaani huwa sihitaji ushauri wa dawa toyote ile, sijui dawa ya kutibu jino bila kung'oa. Nimeshatoa meno (magego,) matatu. Kama linauma pole sana, nenda kwa dentist (daktari wa meno) akusaidie ushauri na...
  12. MajorOne

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi alivyosababisha Vita Kuu ya kwanza ya Dunia

    Asante sana kwa kunikumbusha historia ya WW1. ARCHIDUKE ASSASSINATION
  13. MajorOne

    JamiiForums Tanzania Angalia Namba Ya Simu yako Namba ya Mwisho inaishia namba ngapi?

    Yangu namba 9. Lakini sina hiyo tabia
  14. MajorOne

    JamiiForums Tanzania VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

    La pili
  15. MajorOne

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake msikurupuke kutukana watu wakipiga simu

    Nimeona neno virusi sehemu!!! :D:D:D
Back
Top Bottom