Recent content by majonzi

  1. majonzi

    JamiiForums Tanzania January Makamba acha kutuharibia Amani ya Tanzania kwa uwezo wako mdogo wa kupambanua

    Huyu Dogo atatuvurugia amani yetu tumtazame kwa macho mawili
  2. majonzi

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya aitosa CCM, asema hawezi kuhonga

    Karibu Ester Bulaya kwenye basi makini lenye hadhi yake, basi hili la ukawa litakurudisha mjengoni bila hofu
  3. majonzi

    JamiiForums Tanzania Kahama: Watendaji wa Lembeli, wanadi mkutano wa Tundu Lissu

    Magamba yanapukutika utazani kipindi cha kiangazi
  4. majonzi

    JamiiForums Tanzania TANZIA John Nyerere afariki dunia

    R.I.P John Nyerere
  5. majonzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini na utoaji ruhusa

    Kumegewa siku hizi ni kawaida ukitaka usimegewe mkeo usifuge kitambia
  6. majonzi

    JamiiForums Tanzania Butiku atema nyongo asema CCM inafuga majambazi, majangili na mafisadi

    Mimi ninamkubali sana huyu mzee akiongea, hapepesi macho wala kumungunya maneno
  7. majonzi

    JamiiForums Tanzania Ngeleja awalipua Upinzani

    Huyo Ngereja anafahamu maana ya upinza vizuri? au kaamua kuongea ili watu wajue kuwa na yeye yupo bado mjengoni
  8. majonzi

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Huyu jamaaa sijui vipi anatafuta promo kwenye mitandao kwa nguvu kwanza watu wa Mbeya wanamtafuta awaombe msamahaa kwa matusi yake
  9. majonzi

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Tupo pamoja kamanda katika kudai haki AMINIA
  10. majonzi

    JamiiForums Tanzania Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Naomba viongozi wote wa chadema tujaribu kuchunguza kwa umakini ili tuweze kukitambua hicho kirusi kilichopo hapo makao makuu haiwezekani barua za ndani zikawa zinavuja kiasi hicho.
  11. majonzi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

    Kapige kazi kamanda wakati wao wakiangaika na kujifanya BONGO MOVIE sisi tunawapiga za uso kwa wananchi
  12. majonzi

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    Leo ZITO umenoga bila kutiwa ndimu siku zote ungekuwa unawachinjia baharini kama leo chama lisinge yumbishwa, WELL DONE KAMANDA umetoka kivingine this time
  13. majonzi

    JamiiForums Tanzania anywa sumu baada ya kufeli form four

    R.I.P. wakusoma
  14. majonzi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tutafanya Maandamano Makubwa ya Mapokezi ya Wabunge wetu

    Kesho tujitokeze kwa wingi Ubungo saa 5 asubui kuwapokea wabunge wetu wa upinzani na tukiwa na wabunge hao tutaelekea viwanja vya TEMEKE litapigwa bonge la mkutano tusikose MAKAMANDA peoplessssssss!!!
  15. majonzi

    JamiiForums Tanzania PICHA: Lulu akiwa mahakamani mapema leo asubuhi

    Kweli Gereza limemkubali
Back
Top Bottom