Ester Bulaya aitosa CCM, asema hawezi kuhonga

Ester Bulaya atafaa sana bungeni kama chama atakachojiunga kitakua upande wa upinzani! Watu aina yake huwa hawafiti wakiwa kwenye chama tawala. Ni hali kadhalika kwa Tundu Lisu! Kama cdm wakishika dola, hatutamfaidi tena bungeni! Ester Bulaya angekuwa kwenye upinzani ndio tungemwona katika ubora wake!
 
Mbunge wa viti maalum ameamua kuitosa CCM, asema atarudi bungeni kivingine kwa sababu hawezi kuhonga.

Rushwa ndani ya CCM ndo imemkimbiza sasa kuhamia upinzani. Afuata nyayo za Lembeli.

Chanzo: Nipashe

=====================
Update

Safi sana Esther, vyama vya siasa huja na kutoweka lakini Mama Tanzania atadumu daima. Tanzania kwanza
 
Ndo habar saiz c* esta hongo c kushinda hamjfunz kutoka kwa babu yenu lowasa ngoyai (ngoegg) pesa ametumia nying lakin sas mmmmmhhh!!!!
 
Kama bungeni aliingia bila kuhonga na safari hii anaweza asihonge na akaingia bungeni.
 
Easter Bulaya, ni mtu wangu wa karibu. Ila mimi sina hizi habari. Nina mashaka na hizi taarifa.

Mandla.

Mkuu itakubidi uamini tu maana leo ilikuwa siku ya mwisho kwa ccm kurudisha fomu za kuwania ubunge. Yeye hakuchukua na hadi hiyo saa kumi jioni leo 20/7 hajarudiaha chochote huko. La kuaminika ni kuwa atawania kugombea ubunge ila kwa tiketi ya upinzani na haijafahamika kwa chama kipi kati ya chadema/Act wazalendo au cuf. Sasa kama ni mtu wako wa karibu kama ulivyodai jaribu kumhoji au uwe kwenye orodha ya wanaosubiri.
 
Tatizo letu mtu akishajua kuongea kwenye mikutano basi yeye anajiona ndo mtu pekee anayestahil kuongoza na si wengine, atagombea kwa chama gani na nani kamwambia hicho chama kingine hakina mtu makini zaid yake, CDM, NCCR, CUF....? hakuna watu waliopigania hivi vyama nao wana haki ya kuwa wagombea? watu washalishwa sifa za kinafiki kuwa wao wanakubalika zaid ya wengine ndo mana tunawaona wakikumbana na upinzani kidogo wanatangaza kuhama, waanze kugombea huko huko then tuone jinsi gani wataikabili hiyo rushwa na watuletee ushahidi ili tuwaite mashujaa baada ya kushindwa kwa rushwa. Sio lazima wawe viongozi hata kuwa wanachama tu inatosha, hivi vyama vinavyowapokea nashauri viwaweke kwenye uangalizi mpaka uchaguz huu ukipita ndo wawape nafasi ya kuja kugombea mhula ujao.
 
Mbunge wa viti maalum ameamua kuitosa CCM, asema atarudi bungeni kivingine kwa sababu hawezi kuhonga.

Rushwa ndani ya CCM ndo imemkimbiza sasa kuhamia upinzani. Afuata nyayo za Lembeli.

Chanzo: Nipashe

=====================
Update

Kwani aliingiaje ccm?. waache unafiki wanapoondoka waondoke tu.
 
Shibuda...... niliposoma nikamuwaza shibuda. Asante sana kaka
 
Mbunge wa viti maalum ameamua kuitosa CCM, asema atarudi bungeni kivingine kwa sababu hawezi kuhonga.

Rushwa ndani ya CCM ndo imemkimbiza sasa kuhamia upinzani. Afuata nyayo za Lembeli.

Chanzo: Nipashe

=====================
Update

Dah! magamba bwana, jamaa wamemwomba rushwa gani huyo dada!
 
nilichokuwa Nakiwaza ndicho hichi ndicho kinaenda kutimia kuwa
Ester Bulaya anataka jimbo hilo hilo ambalo yumo Wasira sasa jiulize kwenye Kura za maoni
Wasira akatwe kweli? Wasira ambae kakaa sisiemu mda mrefu na ni eaziri wa kilimo na chakula asitunziwe heshima yake waje wampe Bulaya sijui.....
Bora aingie Upinzani ndo salama yake kutokana na mkoa wake ambao uko vizur kwa upinzani

Hilo la wasira sio sababu ya kumfanya ahame ccm, kumbuka kuwa ester bulaya atagombea jimbo jipya baada ya kugawanywa.
 
Karibu Ester Bulaya kwenye basi makini lenye hadhi yake, basi hili la ukawa litakurudisha mjengoni bila hofu
 
Nlikuwa nasubiria kwa hamu habari kama hii!
Big up Iron lady..., Ester Bulaya. I'm so proud of you!!

Kwa kweli alikuwa kama mis-fit ndani ya CCM. Bora amejiondoa ili uwe huru zaidi bila kukinzana na maslahi ya mafisadi!

Mafisadi mwaka huu hamna rangi mtaacha ona!!
 
Tatizo letu mtu akishajua kuongea kwenye mikutano basi yeye anajiona ndo mtu pekee anayestahil kuongoza na si wengine, atagombea kwa chama gani na nani kamwambia hicho chama kingine hakina mtu makini zaid yake, CDM, NCCR, CUF....? hakuna watu waliopigania hivi vyama nao wana haki ya kuwa wagombea? watu washalishwa sifa za kinafiki kuwa wao wanakubalika zaid ya wengine ndo mana tunawaona wakikumbana na upinzani kidogo wanatangaza kuhama, waanze kugombea huko huko then tuone jinsi gani wataikabili hiyo rushwa na watuletee ushahidi ili tuwaite mashujaa baada ya kushindwa kwa rushwa. Sio lazima wawe viongozi hata kuwa wanachama tu inatosha, hivi vyama vinavyowapokea nashauri viwaweke kwenye uangalizi mpaka uchaguz huu ukipita ndo wawape nafasi ya kuja kugombea mhula ujao.

kweli umeongea neno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom