Recent content by Majoajosh

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi kubwa sana la Ulimbukeni na ushamba kwa Watanzania hasa Mtu akijua kusoma na kuandika

    Mkuu,watu wanaepuka majina ya asili hasa yanayoonyesha ukabila kwa sababu nyingi. Mfano Kuna kipindi nafasi za masomo ya juu na ajira viliangalia Sana ukanda. Hivyo ili kuepuka ubaguzi ktk hizo nafasi inabidi mtoto aandikishwe majina ambayo hayatamtambulisha, Mf Juma Hamid Idd,John Andrew Peter...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuzingua kwenye mapishi, iwe ni mara ya kwanza unapika ama ukiwa mzoefu tayari?

    Umenichekesha,utegue sufuria!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuzingua kwenye mapishi, iwe ni mara ya kwanza unapika ama ukiwa mzoefu tayari?

    Nimecheka wakatukana na kuumaliza ugali
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na familia kubwa kubali kuwa na wachagua vyakula

    Ratiba muhimu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Masters na Bachelor vilinikosesha ajira nikaokolewa na Certificate

    Una mke mzuri, nimempenda alivyokutia moyo ktk maombi,jitahidi umpe furaha huyo wife wako
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Afanya upasuaji kuondoa mbavu 5 na utumbo ili kuwavutia wanaume

    Haya maamuzi yake Kuna siku atayajutia,akifika umri Fulani ataana kujua kuwa alifanya upumbavu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya uvutaji wa sigara ovyo ikomeshwe

    Hivi hakuna kiongozi wa ngazi za juu kwenye utawala huu anayevuta fegi,??
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela ya mwanamke huliwa na nani?

    Hilo swali lako mbona ubavu wako ana jibu lake? Kaa naye kwa akili utajua matumizi ya hela zake. Kwani wewe hakutoi out? Hakununulii chochote,
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

    Kwa Nini? Kuna Nini kimetokea,acha hizo mkuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tujulishane lugha zinazotumiwa kwenye jamii, biashara, kazi na n.k

    Goli la mkono?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kutumia Internet ya halotel?

    Unajiungaje,saidia boss
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wangu wamejifunza kucheza upatu shuleni na watoto wenzao

    Huko Bweni unafikiri ndo mahali salama?wewe kaa na wanao uwaelimishe kilicho Bora ,
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wangu wamejifunza kucheza upatu shuleni na watoto wenzao

    Waalimu Tena!!yaani wanafunzi wanasiri nyingi mno,kwani mkuu ulipokuwa shule hakuna vitu mlivyokuwa mnafanya kwa Siri bila waalimu kujua? Wewe mzazi mwenye mtoto mmoja ndo unashtuka leo,huyo mwalimu mwenye wanafunzi 80 atashtuka lini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hiki ndo kisiwa cha migingo

    Mkuuu nimecheka kwa sauti,hahaaaa
Back
Top Bottom