Ukiwa na familia kubwa kubali kuwa na wachagua vyakula

Huyo anae chagua chakula maana yake anayo hela ya kununua chakula anacho penda Leo mchana unapikwa ugali maharage na mboga za majani imeisha hiyo
Ye akijidai hatumii maharage atafute hela ya kununua samaki wake
 
Kuna mzee mmoja enzi za kikwete alikuwa mambo Safi kwako maana anafanya kazi sekta nyeti ,nilinda kwake mara kadhaa hizo draft za msosi kwake ni balaa.

Nyama kuna zilizoungwa ,zilizokaushwa ,chips ,ndizi ,ugali ,wali ,mboga za majani ,dagaa ,maharage ,matunda ,juice ,soda .

Vyote vinakuwa mezani na ni kwa kila siku,bia,wine zipo kwenye friji mda wote na makreti yapo tu store za bia na soda.

Magufuli alipoingia tu ,wakapunguza kazini ,aisee ni stress maana hakuwa na mishe zingine zaidi ya kazi ,hizo Kodi kufukuzana na wapangaji kila siku hata hela ya bia ni ishu
Haya maisha ni magumu Sana usiombe yatokee ghafla hivi utaona dunia chungu asee
 
Wenye familia wana mizigo mikubwa kwenye kulisha idadi ya watu waliomo ndani ya familia.

Kwa huku kwetu hii kitu inazidi kuongezeka kwenye familia ambazo unakuta umerundika kila aina ya watu.

Unakuta huyu sijui maharage hatumii, mwengine wali, nyama fulani, samaki ila kasoro kuku na n.k

Yaani kama una mzigo kama huu tegemea kupika chakula cha harusi maana kila mtu hupenda anacho kula kwa kisingizio cha vidonda, alipotoka, mazoea, aleji na n.k
Ukiona umeanza ku judge milo ya wanafamilia ujue huja qualify kuwa baba
 
Mie swali langu ni moja tu, "ukila hicho chakula unavimba au unatoka vipele" jibu likiwa hapana basi atakula kila siku hadi akizoee,

Kuna mmoja alikuja kwangu akawa anatoa ule mkanda wa brown wa Mkate halafu anakula slice nyeupe na kwenye mboga karoti na hoho anazichambua, yaan jitu zima kabisa linaacha kula linachambua karoti na hoho ndio ale, dah!

Nilichomfanyia... heshima na adabu.
 
Kuna mzee mmoja enzi za kikwete alikuwa mambo Safi kwako maana anafanya kazi sekta nyeti ,nilinda kwake mara kadhaa hizo draft za msosi kwake ni balaa.

Nyama kuna zilizoungwa ,zilizokaushwa ,chips ,ndizi ,ugali ,wali ,mboga za majani ,dagaa ,maharage ,matunda ,juice ,soda .

Vyote vinakuwa mezani na ni kwa kila siku,bia,wine zipo kwenye friji mda wote na makreti yapo tu store za bia na soda.

Magufuli alipoingia tu ,wakapunguza kazini ,aisee ni stress maana hakuwa na mishe zingine zaidi ya kazi ,hizo Kodi kufukuzana na wapangaji kila siku hata hela ya bia ni ishu
Hayo ndio maisha hata mimi ninayataka! Hela ikiwepo mbona unaishi kama binadamu kabisa ila hela ikiwa ya magumashi ndio mambo ya wali marage kila siku!

Mlo unatakiwa uwe draft matunda tunda kiaina kama buffet tu! Friji limesheheni full time ma zabibu ma apple yani misosi sio ya kuuliza 😀! Haya ndio maisha jamani! Watu wale vizuri sio unajinyima mwisho unaugua vidonda vya tumbo
 
Kuna mzee mmoja enzi za kikwete alikuwa mambo Safi kwako maana anafanya kazi sekta nyeti ,nilinda kwake mara kadhaa hizo draft za msosi kwake ni balaa.

Nyama kuna zilizoungwa ,zilizokaushwa ,chips ,ndizi ,ugali ,wali ,mboga za majani ,dagaa ,maharage ,matunda ,juice ,soda .

Vyote vinakuwa mezani na ni kwa kila siku,bia,wine zipo kwenye friji mda wote na makreti yapo tu store za bia na soda.

Magufuli alipoingia tu ,wakapunguza kazini ,aisee ni stress maana hakuwa na mishe zingine zaidi ya kazi ,hizo Kodi kufukuzana na wapangaji kila siku hata hela ya bia ni ishu
Muhimu kujitayarisha kwa siku zijazo
 
Mie swali langu ni moja tu, "ukila hicho chakula unavimba au unatoka vipele" jibu likiwa hapana basi atakula kila siku hadi akizoee,

Kuna mmoja alikuja kwangu akawa anatoa ule mkanda wa brown wa Mkate halafu anakula slice nyeupe na kwenye mboga karoti na hoho anazichambua, yaan jitu zima kabisa linaacha kula linachambua karoti na hoho ndio ale, dah!

Nilichomfanyia... heshima na adabu.
wengine maharage wanakula mchuzi tu
 
Kwangu wanakula kinachopikwa, mambo ya kuchagua mpaka akiwa na kwake si kwangu, kipindi nakua nilikua nikichagua chakula mama alisema subiri uwe na kwako hapa si kwako,
Nami nafanya hivyo hivyo,
 
Mie swali langu ni moja tu, "ukila hicho chakula unavimba au unatoka vipele" jibu likiwa hapana basi atakula kila siku hadi akizoee,

Kuna mmoja alikuja kwangu akawa anatoa ule mkanda wa brown wa Mkate halafu anakula slice nyeupe na kwenye mboga karoti na hoho anazichambua, yaan jitu zima kabisa linaacha kula linachambua karoti na hoho ndio ale, dah!

Nilichomfanyia... heshima na adabu.
Kudadadeki!!!😂 hivi husema mabinti hufanana na mama zao eeeh!

Nimewahi kuishi na watu wa namna hiyo! Asee walikua wanakera! Mpaka wakati wa kutoa vyombo nawauliza kwani nilipika uchafu? Mbona unachambua chakula? Majibu ni kuwa hawapendi hivyo vitu! Nkasema kudadadeki .. sometimes nikawa navisagia kama ni karoti nasaga na kama ni hoho nakata ndogo ndogo halafu nazitia mwishoni kwenye mboga ili zisivurugike.. mbona mtu alikua anachoka kuchambua!

Na kwetu ilikua kama huli chakula fulani au huwezi kukipika basi utakipika kila siku na kukila kila siku mpaka ukizoee! Heshima kwa mama yangu! Tumezoea kumuita afande! Anatupenda na anatudekeza sana ila sio kwa suala la tabia za kishenzi!
 
Usipowalisha chakula wanachotaka utapungukiwa na baraka, toa kadiri ya uwezo wako
 
Back
Top Bottom