Tahadhari, sio Kila boda Ni wa kumwamini na sio Kila abiria, Ni abiria kweli hasa nyakati za usiku, punguza Safari zisizo lazima usiku

Hii kazi ina majaribu sana.Ngoja niwape stori ya miaka 2 nyuma kuna wadada niliwapakia maeneo ya tegeta wanakwenda mashimoni (skanska kwa chini kidogo) sasa niliwapakia mshikaki ilikuwa ni usiku around saa 8 au 9 kipindi hicho nakesha sasa basi wakasema wamebanwa na mkojo nami nikatafuta eneo zuri nkawaambia haya kojoeni hapa nao wakasema twende tuu tutakojoa home sasa basi ile nawafikisha nyumbani kwao walipopanga wakaenda mbele ya taa kubwa ya nyumba wakavua nguo wote wakakojoa huku mimi wameniachia ma***ko nayakodolea macho walivyomaliza wakaja huku chupi zipo magotini wakaanza kunichezea nyimbo wakiwa uchi kabisa na kuniambia niwape elfu 10 niwale wote na chumba ni chao na kuhusu usalama wa boda wakasema unaisogeza hadi mlangoni alafu tunaacha mlango wazi ili uione aiseee niliwaza mengi sana kama ningekua nina tamaa ningetafuna wote ila nikawakatalia kwakua namuacha mkewangu kuja kukesha kwa ajili ya kutafuta pesa ila haya mengine hapana,hayo ndio majaribu niliyokutana nayo
Safi,hiyo boda mwamba ingesepeshwa.
 
Kuna jamaa yangu alichukua boda pale Buguruni shell kama saa 6 usiku,anaenda ubungo,kufika mbele kuna boda nyingine ikapiga honi na ikawapita,kufika kule mbelembele boda ikakunja kushoto kwa spidi kali,wakamkuta jamaa kapaki pembeni na kashika panga,na yule aliyempakia akachomoa panga,jamaa akawekwa mtu kati,alikuwa na kibegi flani kina mfuko wa kujificha aliweka ipad ya apple.wakakisachi kibegi hawakuona kitu wakakitupa chini,wakachukua mapene na kadi za benk,wakamfinya awape namber za siri,jamaa akatoa namber feki,boda mmoja akatoka kwenda kutoa kwa Atm,akabaki mmoja,akajipindua alikuwa ameegemea boda yake,jamaa kwa maamuzi ya haraka akamsukuma akadondoka na boda yake, jamaa fasta akabeba kibegi mbio huku akipiga kelele majambaziiii....jamaa akasita kumfukuza ndiyo pona yake.
 
Jamaa angu ilikua ikishafika saa sita usiku akichukua boda lazima amige picha arushe kwenye magroup,jamani huyu ndo dereva wake wa leo,chochote kitakachompata jamaa atafutwe,anaweka na no za simu za boda,alizombp kabisaa.akishatuma safari inaanza.Akikataa anatafuta atakaekubali...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom