Hela ya mwanamke huliwa na nani?

Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,

Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.

Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.

Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
Tatizo la watu wakati wa kuanzisha mahusiano mnasikiliza sana watu.

Mara demu mmwenye tako,

Mara pisi kali,

Mara sijui nini?

Mwisho wa siku unaoa slay queen halafu unakuja kulalamika kindezi humu.

Mimi demu wangu kanipa mpaka password na mimi ndio naenda kutoa pesa.

Naal ameshasema tukianza kuishi wote, pesa zake zitakuwa za kula na zangu za kufanya mambo mengine.

Vijana acheni kujiingiza kwenye mahusiano ya kuridhisha walimwengu.
 
Hawa jamaa wana ratiba nyingi mpaka basi! Wakati mwingine tuwaache tu. Kwanza ni viumbe wenye tamaa sana! Yaani akiona kitu halafu akakipenda, basi ni lazima tu atakinunua. Wana mahitaji mengi sana kuliko sisi wanaume! Mfano kwenda saluni, kupaka rangi na kusafisha kucha, nk.

Ni watoaji wazuri wa sadaka kwa Manabii na Wachungaji uchwara ukilinganisha na sisi wanaume! Wana vikundi vingi vya kukopeshana na kusaidiana wenyewe kwa wenyewe!

Ni wepesi sana kwenye kusaidia familia zao mfano baba na mama zao, ndugu zao, nk zitokeapo changamoto za kifedha, au shida fulani nyumbani ukilinganisha na sisi.

Wanawake wengi hupenda kuishi na akiba ya fedha ndani ili ziwasaidie wakati changamoto zinapotokea nyumbani, tofauti kabisa na sisi wanaume ambao wengi hatupendi kuweka akiba. Hivyo unaweza kushangaa hela iko wapi, kumbe ameweka akiba sehemu ambayo kamwe mwanaume huwezi kuigundua.

Hao ndiyo wanawake bhana tunao takiwa kuishi nao kwa akili sana.
 
Tatizo la watu wakati wa kuanzisha mahusiano mnasikiliza sana watu.

Mara demu mmwenye tako,

Mara pisi kali,

Mara sijui nini ?

Mwisho wa siku unaoa slay queen halafu unakuja kulalamika kindezi humu.

Mimi demu wangu kanipa mpaka password na mimi ndio naenda kutoa pesa.

Naal ameshasema tukianza kuishi wote, pesa zake zitakuwa za kula na zangu za kufanya mambo mengine.

Vijana acheni kujiingiza kwenye mahusiano ya kuridhisha walimwengu.
Daa hongera mkuu, kwa kweli inabdi ajengewe sanamu sio kwa upendo huo
Ingawaje tukitaka ndoa kwa lolote huwa tupo tayari kujilipua
 
Inaliwa na wanaume mzeee huwezi amini wanawake wakikuelewa wanakupa hela angalau kwa kipindi flani kama kuna kitu anapata kutoka kwako....
 
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,

Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.

Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.

Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
Hilo swali lako mbona ubavu wako ana jibu lake?
Kaa naye kwa akili utajua matumizi ya hela zake.
Kwani wewe hakutoi out?
Hakununulii chochote,
 
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,

Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.

Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.

Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
Siku hizi ni hawa wafuatao
Moja, Serengeti boys
Pili; Manabii/Makuhani/Watumishi
Hawa jamaa wakimshika mkeo watakuvunjia ndoa, ukisikia Mkeo anasali sijui kwa mtume gani huko, kataa kW nguvu zote huo ujinga. Heri utubu muanze kusali wenyewe hapo home.

Atakunyima hadi haki ya ndoa kisa mtumishi wake kamkataza
 
Kuna mwanamke na mke, kuna wanawake hawana sifa kabisa za kuwa mke wapo wapo tu hawana future yoyote wao ni kujipamba kupitiliza, kujifanya wameokoka pesa zote zinaishia huko kumbe ni unafiki tu, wabinafsi kupitiliza atampatia pesa kaka yake lakini hata kumnunulia pipi ya mia mwanae ni kazi, mwanaume ukioa mwanamke mbinafsi jiandae kabisa kuwa mbeleni mtashindwana tu.
 
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,

Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.

Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.

Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
ViBen10
 
Tatizo la watu wakati wa kuanzisha mahusiano mnasikiliza sana watu.

Mara demu mmwenye tako,

Mara pisi kali,

Mara sijui nini ?

Mwisho wa siku unaoa slay queen halafu unakuja kulalamika kindezi humu.

Mimi demu wangu kanipa mpaka password na mimi ndio naenda kutoa pesa.

Naal ameshasema tukianza kuishi wote, pesa zake zitakuwa za kula na zangu za kufanya mambo mengine.

Vijana acheni kujiingiza kwenye mahusiano ya kuridhisha walimwengu.
Hata wewe mkuu muda wa kujisifia bado haujafika.

Ungeishi ndani ya ndoa walau miaka 10 ndiyo uje utoe ushuhuda wa uliyoyatoa sasa!

Mitego na vishawishi vya ndoa ni vingi kuliko unavyovielewa wewe.

Kupewa pass word pamoja na kukabidhiwa fuba kabla ya kufunga ndoa vyaweza kuwa ni vishawishi vya kukuvutia uingie kichwa kichwa kwa furaha kabla rangi halisi haujaoneshwa.

Waulize wazoefu, kila mwanamke kabla ya kufunga ndoa, bila kujali umeishi naye kihawara muda gani, ni mjanja sana kwa kuonesha unyenyekevu na ushawishi akielewa kuwa kipindi hicho hajawa na mamlaka kamili juu yako.

Mkiisha kufunga ndoa ndiyo hujivua gamba na kuonesha sura na rangi yake halisi.
 
Itakuwa wanaweka akiba ya uzeeni mkuu, we chaa kufanya mkezeeka muulize kaziweka wapi, muanze kula mafao yenu.
 
Back
Top Bottom