Recent content by majid musisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu tumepata ajali ya treni mjini Morogoro muda huu!

    Poleni sana na mungu awajalie safari njema.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Habari ya mjini ni obama obama abama dar imefurika

    Du!kaaazi kweli kweli!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania 'Best Safari Destination in Africa'

    Halafu nchi bado masikini tu!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya Muelimisha Jamii,Ingia Siasa Kinondoni, Temeke ipo Wazi

    Nadhani ujumbe utakuwa umemfikia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

    Mbele ya mzungu gesi itatoka tu hata kama wametambika,fikiria kwenye migodi wanasemaga mpaka ufanye tambiko ndio mgodi uteme,lakini wakija wazungu na machine zao wanasomba wanavyotaka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majambazi yauwa

    Poleni sana wote!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji hili ili iwe na mabadiliko ya kweli.

    True kabisa kwani Education the Great Equalizer!
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM wanaendelea na kampeni Arusha na kununua kadi za kura

    Haya bwana yetu macho na masikio!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wote;NCHI IMEFIKIA HAPA..

    Umesahau na taifa la usanii na ushirikina kila kona!
  10. M

    JamiiForums Tanzania CCNA(Cisco Certified Network Associate)

    Check na UCC pale posta mpya au headquaters pale mlimani.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unga Wa Ngano Ya Kahawia

    Hiyo rangi ya kahawia imetokana na mbegu zake au ndio genetically modifies? tueleweshe maana usije ukawa na madhara.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa lady jay dee yahaya unawasema ruge mutahaba au kusaga?

    Mwachie ngoswe mwenyewe!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo familia inayotawala ulimwengu!!

    Kama Hitler alikuwa mmoja wa familia hii kwa nini alitaka kuwaangamiza wayahudi wote ujerumani enzi hizo?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nateswa na dawa za kuona wachawi hasa usiku

    Dawa ya moto ni moto.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Star TV yarudi Star Times baada ya Maridhiano

    Hongera kwa kusikiliza kilio cha wateja wenu!
Back
Top Bottom