Recent content by Majaribu2013

  1. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Kumbe kauli Mbiu ya 'Come Sunshine Come Rain' na Kujiamini Kuvuka imekuja baada ya Tajiri Komhonga Kocha Mkongo?

    Na tulivyowapakata nyinyi Simba tuliwahonga nini?
  2. Majaribu2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

    Mwanamke akitumia x badala ya s genye huwa zinaniisha kabisa.
  3. Majaribu2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

    Ka.umeshwahi sikia binadamu imbwa ndo kama hivi
  4. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya 2021 inayonitesa mpaka leo

    Kosa kubwa sana unalofanya ni kutumia muda mwingi kujihukumu. Kujiona mkosaji, kujiona maskini, kujiona hufai, kujiona umekosea lakini unasahau kitu kimoja. BADO unaweza kubadilisha hiyo ali kwa kuchukua hatua yenye tija zaidi hata kama ni ya maumivu. Tafuta eneo lingine la biashara uhame...
  5. Majaribu2013

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa hela jana tu, niko mbali umeme umeisha nimemwambia aweke anadai nitamlipa hela yake

    Tafuta hela bro ukizipata hizi karaha zitakuwa furaha. Huyu mwanamke hamko level sawa naye kiserikali, kiuchumi hata kichawi.
  6. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania WhatsApp yafanya Maboresho Yaja na Features Mpya

    Wewe ndo ulikuwa hujayaona ni zaidi ya mwezi sasa. Uzembe wa kuapdate
  7. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

    Wamechukua asali. Hata sijuiagi hayo masega huwa wanayafanyaje na wanapata nini
  8. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

    Ni mjinga tu au mtu asiyejua kanunu za mpira anaweza kusema ni goli halali lile. Mpira uliokufa unaanzishwa na refaree.
  9. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP Pavilion core i5 8th generation

    Bei ya touch
  10. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP Pavilion core i5 8th generation

    Mkuu ni touch screen? Nakushauri uniuzie kwa Laki 8.
  11. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu aina ya Samsung Note inauzwa

    Chukua laki na 10 niko Nkuhungu.
  12. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani

    Wakatulie sasa watakuwa wamejifunza. Wakianza tena tutawachukua tena.
  13. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Ukiweka milioni 200 kwenye fixed deposit unapata mrejesho wa 1.5m kwa mwezi

    Africa ndo maana tunakufa maskini. Yaani uwekeze 200m upate faida ya 1.5m kwa mwezi. Ugoro wawapi huu? 200m ukiwekeza biashara ya maana unavuta hadi m20 kwa mwezi.
  14. Majaribu2013

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kimawazo au ushauri wa kutatua changamoto ya usikivu mdogo (Hearing loss) au kupunguza adha zake

    Nimeteseka sana na hili tatizo. Automatically nimejipatia utatuzi wangu mwenyewe.
Back
Top Bottom