Recent content by maite dan

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TUJADILIANE: Je Elimu ina umuhimu gani kwenye mahusiano?

    Elimu inasaidia wanandoa, marafiki au wachumba kuwa na lugha moja hasa katka mipango yao. Lakn kuishi katka level ya maisha kulingana na status za wawili hao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Ukweli upo lakini neno alotumia ni kali sana. Hata kwa kutumia tafsida angeeleweka vyema. Anaharibu morale yao
  3. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo chalinze, idara secondary aje mvomero Mawasiliano 0785090687 au 0682052641 au 0753442198
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba tushauri hawa graduates wa postgraduate diploma wamekata tamaa

    Nikuulize labda 1: Hilo tangazo la kuwa postgraduate diploma hawatakiwi liliwekwa website gani? 2. Serikali ilivosema ina uhaba wa walimu hasa masomo ya sayansi, na inampango wa kuwa train shortcourse wale wa fani zngine ilimanisha nn?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki angu ananiroga

    Achana na waganga watakuchonganisha na kila mtu. Come to Jesus hutalogwa tena
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nawaza: Walimu wenye diploma na grade A wangepunguzwa kupisha digrii

    Kweli mkuki mtamu kwa nguruwe, unachokisema kingekutokea wwe au ndg wa karibu ungeelewa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wawili wa sanaa wageukia kuuza Mitumba

    Mungu awapiganie kupitia huo mrad
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Degree programmes kuanzia mwaka kesho

    Aiseee hatar
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimenunua nyanya gengeni nimeshtuka baada ya kuhisi mojawapo sio ya kawaida

    Teh! teh! JF buana raha sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna unafuu wa maisha? Sema Ndiyo au Hapana

    HAPANA
  11. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: MwanaJamiiForums mwenzetu Mwalimu Kaijage, afariki dunia

    R.I.P mwl
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je kubadilibadika kwa hedhi ni ishara ya tatizo kwenye afya ya uzazi?

    Hapana. kubadilika kwa mzunguko kunasababishwa na vichocheo, mazingira na vyakula
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

    Wanaume kwa kujihami hamjambo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    Suala la uzazi kila mwanamke analiexperience kivyake, wapo baadhi anapokuwa ananyonyesha hawez pata mimba, ila wengine wanapata. Kubleed baada ya kujifungua hakuna specific time na hakuko constant, kila mwanamke anaexprience kivyake
Back
Top Bottom