Kuna wanawake hubadilika mzunguko wao kila mwezi. Kwa mfano 14 Mei, 18 Juni, 24 Julai, 26 Agosti, 30 Septemba, 06 Octoba, ... Inatokea hata mwezi kuwa na siku zaidi ya 36.
Je hali hiyo inaashiria tatizo katika mfumo wa uzazi linaloweza kuzuia mwanamke huyo kushika ujauzito?
Msaada tafadhali.
Je hali hiyo inaashiria tatizo katika mfumo wa uzazi linaloweza kuzuia mwanamke huyo kushika ujauzito?
Msaada tafadhali.