Recent content by Maimba

  1. Maimba

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Upinzani Bungeni kwaheri?

    Hivi kuna haja gani ya kupiga kira ilhali anayechaguliwa na wengi anachakachuliwa mnaletewa msiyemtaka?
  2. Maimba

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaume

    Uko sahihi mimi kama wife mzinguaji wala sioni aibu kichepuka...
  3. Maimba

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaume

    Bora umeeleza vizuri ni kwa wanawake wanaojielewa na wanaotimiza wajibu wao vizuri.. Kwa hapo nakusapoti Mwanamke ambae hajielewi na wajibu wake hautekelezi vyema basi kuchepuka ni lazima kwa mumewe.
  4. Maimba

    JamiiForums Tanzania Wadada mnakwama wapi mnavaa vinguo vifupi then njia nzima mnapata tabu kuzishusha kama mmelazimishwa kuzivaa

    Mimi nina matatizo jamani nikiona picha kama hizi wanawake jiheshimuni vaeni vizuri kimaadili.
  5. Maimba

    JamiiForums Tanzania Kabudi ndiyo Goebbels wa leo

    Mimi hata nikiulizwa ni nini muelekeo au vipao mbele vya hii serikali siwezi kujibu, mana leo utasikia hili halijakamilika kesho utasikia lile hali kadhalika kesho kutwa nayo itakua na lake. Hii ni kwa sababu hakuna katiba ya kueleweka kila mtu anafanya analowaza kicheani mwake. Huwezi...
  6. Maimba

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Dereva taxi afikishwa mahakamani kwa kudaiwa kumteka Mo Dewji

    Haya mambo tulishasahau kwanini wanatu fool again[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Maimba

    JamiiForums Tanzania Kuna ' Siri ' gani iliyo nyuma ya hii Mikoa ifuatayo, hadi inaongoza kwa Kutoa ' Majasusi ' wengi na mahiri nchini Tanzania?

    Tutajie hao majasusi unaowafahamu ili tuchangie vizuri zaidi.
  8. Maimba

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wenye akili hizi ‘ mbovu ‘ kama za Mashabiki wa Yanga ‘ watupishe ‘ haraka

    Ninyi ni ombaomba tu huwezi andika waraka mrefu hivi kujaribu kusafunya ushenzi mlioufanya..kale kajamaa kameingia tu kanarukaruka uwanjani kumbe kanawaza[emoji151][emoji151][emoji151][emoji151]
  9. Maimba

    JamiiForums Tanzania Naishi naye ndio, Lakini...

    Sio kweli sex is not only for making babies buddy.
  10. Maimba

    JamiiForums Tanzania Naishi naye ndio, Lakini...

    Ukisema wanaume tu ndo tuna roho ngumu unakua mbinafsi pia haya mambo sasa hivi si ya upande mmoja japo linapotokea anayeonekana anaonewa ni mwanamke. Kiukweli jamaa yuko wazi hampendi huyo mama ilitokea tu mimba bahati mbaya sasa katika hali kama hiyo ukioana na mtu ambaye hayuko moyoni mwako...
  11. Maimba

    JamiiForums Tanzania Nuclear detterence Doctrine

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Maimba

    JamiiForums Tanzania Nuclear detterence Doctrine

    Nimepata elimu ya kutosha.
  13. Maimba

    JamiiForums Tanzania KKKT labariki unywaji wa Pombe

    Duh
  14. Maimba

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Uhakiki wa vyeti vya kidato cha 4&6 kwa Walimu na Watumishi wa Umma

    Ivi admin unaposema waalimu na watumishi wa umma unamaanisha nini.[emoji15][emoji15]
Back
Top Bottom