Recent content by Mailman

  1. M

    Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

    Ukimpa laki, baada ya kupokea tu anasema fala huyu katoa laki
  2. M

    Ndugu yangu kila siku anaingiza wanawake chumbani, nimechoka naombeni ushauri wa haraka

    Unachotakiwa kuelewa ni kwamba bro anamfukuza jamaa kiujanja janja. Yeye hapo anatakiwa kutafuta mahali alipie kimya kimya, siku ya siku anabeba vitu vyake vyote anapeleka kwake, halafu baada ya hapo ndo ampigie bro wake simu kwamba amehama.
  3. M

    Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

    Cariha ukipata muda naomba nitumie PM. Nina ujumbe wako tafadhali.
  4. M

    Ndugu yangu kila siku anaingiza wanawake chumbani, nimechoka naombeni ushauri wa haraka

    Ushauri: Kama una muheshimu kaa naye umweleze namna unavyo kwazika na hilo. Walau kuwe na ratiba rafiki, hapa hakikisha unatumia hata kwa njia ya meseji kumweleza. Ukiona habadiliki, jipange taratibu bila kumshirikisha, tafuta chumba lipia hata miezi 3, siku ya siku unabeba vitu vyako na...
  5. M

    Ndugu yangu kila siku anaingiza wanawake chumbani, nimechoka naombeni ushauri wa haraka

    Huyo bro wako ni mjanja, hakuwa na hela ya kutosha kupanga ikabidi akutumie wewe kumwongezea, anajua kwa namna utavyokula exile utakimbia tu.
  6. M

    Wazee wa DRAFTI kete tatu mpya ndio zikoje? Maana nazisikia tu, kama unazijua hebu tupia pattern yake hapa

    Siyo kweli, sema kete moja inashika major ndogo na major kubwa tofauti na ile nyingine ambayo kete ya major haigusi hizi line za major ndogo.
  7. M

    SoC01 Safari ya miaka 7 katika uraibu wa filamu za ngono

    DeepPond amepita kwenye hii thread?
  8. M

    Mkopo wa dharura unahitajika. Dhamana ni nyumba iliyopo Dar es Salaam

    Umenikumbusha enzi za utoto, ukigombana na mdada anawahi kushika kengele na ugomvi umeisha.
  9. M

    Mkopo wa dharura unahitajika. Dhamana ni nyumba iliyopo Dar es Salaam

    Huwezi kuelewa wewe, it takes years and so so kuiuelewa mbinu hii ya upigaji.
  10. M

    Riwaya: Senyenge

    Unazinguaga, kama vipi ungekuwa unaacha tu kuandika.
  11. M

    Waziri Mkuu: Treni ya SGR kuanza majaribio Julai 2021

    Jamani wale mlioko eneo la tukio, hii kitu imeshafanya hayo majaribio?
  12. M

    Riwaya: Senyenge

    Who cares?
  13. M

    Hivi unafahamu kwamba Bia ina ladha sawa na Uke?

    Unastahili tuzo ya heshima
  14. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tunaiita, "The Road To Coming Out". Anataka kutuambia kitu ila anazunguka.
Back
Top Bottom