Recent content by maifu

  1. maifu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumrudisha umpendaye

    asante kwa ushauri tutauzingatia
  2. maifu

    JamiiForums Tanzania Mimi niliachwa hivi wewe uliachwa vipi?

    Pole kwa kuachwa kwa staili hiyo
  3. maifu

    JamiiForums Tanzania Picha; Huyu NDIYE MWANAMKE Mwenye UMBILE la KIPEKEE na ni la KISASA zaidi DUNIANI...

    Duuh hili umbo balaa
  4. maifu

    JamiiForums Tanzania Ukioa kwenye familia ya aina hii, uwe tayari kuendeshwa na mama mkwe.

    Nilikuwa sifahamu kazi kweli kweliiiii
  5. maifu

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake mna roho mbaya? Jifunzeni kwetu wanaume.

    Naona ulikuwa huna cha kuandika
  6. maifu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke: Dalili kwamba mwanaume uliye naye si wako peke yako....!

    Sasa nimekwisha elewa
  7. maifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

    Pole ila usiwe na pupa tafuta taratibu
  8. maifu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    Bado sijaelewa hiyo mada
  9. maifu

    JamiiForums Tanzania Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

    Hii ni chuki juu ya uislamu na waislamu kwa ujumla jamani tujihadhari sana tusije tukafika pabaya
  10. maifu

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa pili mpenzi wangu hataki tufanye mapenzi wakati huo huo anadai ananipenda

    Mkiwa wapenzi haimanishi mpaka mfanye sex ndio uone unapendwa wakati enzi za mababu zetu ilikuwa hawajui ni mtu gani atamuoa mpaka siku ya ndoa ndio anamjua sas ww miaka miwili tu unaiona mingi unataka kugegedua au kugegedwa
  11. maifu

    JamiiForums Tanzania Chama kipi unakipenda zaidi Kati ya CCM na CHADEMA?

    Chama cha mapinduzi
  12. maifu

    JamiiForums Tanzania Wadada makwapa hayo

    Sio wanawake tu hata nyinyi pia mnakera na kufuga manywele yenu tena mnanuka ile mbaya
  13. maifu

    JamiiForums Tanzania Mapenz ya whatsapp..

    Huyo aliyeweka hiyo mada nahisi ndio mchezo wake
  14. maifu

    JamiiForums Tanzania Kwa staili hii Miaka Ijayo Mahausigeli Ndo watakuwa Wake wa Kuoa..!!

    Umesema kweli midada imezidi utakuta mwingine hadi nguo za ndani anapewa housgirl afue ndio ulivyofundishwa kwenu ingekuwa hivyo basi mama yako na bba yko wasingekuwa pamoja hadi leo
  15. maifu

    JamiiForums Tanzania Mnaokataa kuolewa/kuoa mna ajenda gani ya siri.

    Siku hiz hakuna mapenzi haina haja ya mtu kukimbilia kuolewa/kuoa watu wote matapeli wa mapenzi
Back
Top Bottom