Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,377
- 95,216
Una maneno makali hadi nimekuogopa duh
Usiniogope...
Una maneno makali hadi nimekuogopa duh
Usiniogope...
Ila kuna makwapa jamani mengine sio siri yamekomaa...kama uvungu wa korodani...
Wadada hebu muwe mnayaficha basi...au sijui ule usugu na ule ukoko kama uchafu wa vocha husababishwa na yale mapochi huwa mnayakumbatia kutwa....!!!
Unamkuta mdada kavaa kitopu mkono wa kulia kashika bomba kwenye daladala, misharubu ya huko imejichomoza kama mimeno ya mamba...halafu mkono mwingine kashikilia simu anachonga umbea na shosti...hiyo harufu yake salaleeee
Wanaume wa aina hiyo hawapo????unapoongelea swala la usafi jaribu kuBalance mambo na sio kuwa bias sawa eeeehhhh????
Bora aliyekomaa kwa wembe.....wapo wanaume wakivaa vest zao fulu kichaka tena cha njano waweza sema mvii si mvii rangi ya shabaaa lol!!!!!
Wengi wao usafi kwao ni mpaka mgombane,si wa mwili wake wala getoni kwake...full uchafu yani,ni vile tunawasitiri tu
Ah hawa waja wasipotutia midomoni hawaridhiki kutwa twasemwa wanawake kila kasoro tunazo sie wanaboa kwa kweli
Khaa!!! na ndio muwaaache kuvaa visingilendi kama mabawa Mabula...
Kwapa halina kiangazi kutwa mvua za masika tu, halisikii cha upepo wala aisiii...
Unabisha nini na wewe usitake kuzuga kwani hapa umeona kibao chochote kimeandikwa 'twaongelea wanaume...'
Tena huwa twawasitiri tu...unakuta mwanamke ana kwapa jeusiiiii kama kaangio la chipsi dume...halafu huku pembeni pembeni sasa sijui ule ni ukurutu kama masizi ya kibatari...
Yaani ningekuwa na uwezo ningeiomba hata serikali iwajengee vituo maalumu vya kuyasugua na kuyasafisha hayo makwapa yenu...msije pata kansa bureee
Asante sana mpenzi.
Hahahahahaha kwel aiseeeee ishanitokea nilitaman kumwambia
sasa si mtusaidie kutu soapsoap wadada...
mwlm shikamoo....jf siku hizi??
hana tatizo, ukweli ndio unaougopa....Mmmmmh kinywa kinaonyesha roho yako ikoje ujue.
Japo umeongea ukweli.
hana tatizo, ukweli ndio unaougopa....
Mwataka tubalansi kwani siye twauza nyama buchani hapa...
Wanaume wanajiachia wazi kwa kuwa wana misuli ya kuonyesha...
Sasa nyie mwajiacha wazi hiyo misuli yenyewe iko wapi kama si mwatuonyesha misharubu tu ile kama kibrashi cha chachandu...eboh!!
Unakuta mdada kavaa kitop halafu kwapa nje,inarusha stimu kwapa yenyewe imekomaa kwa kukwanguliwa kwa wembe kwapa nyeusiii....inaboa sana wengine tuna let muonekano wa kwapa na papuchi zenu.
Binti kwapa mda wote imeloa jasho inatema mbaya tena imeotea utoko utoko daaah hata mzuka wa kupiga mzigo unapotea hebu kuweni wasafi na muwe mnazifichaga hizo kwapa.wenyewe mnaona usasa na hizo top zen kuacha mikwapa wazi mnakera sana.