Recent content by Mahiri chris

  1. M

    Wakurya acheni kuwaloga walimu....

    Usionyeshe ujinga wako hadharani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Ilikuwaje Mkoa wa Mara ukaitwa 'Jamhuri ya Watu wa Chui'?

    Kwa kweli baada ya vita vya kagera, bunduki nyingi tu zilisafirishwa kwenda bwerege. Kiasi cha silaha kilikua juu kiasi kwamba silaha ingenunuliwa kwa ng'ombe mmoja. Silaha hizo zilisambaa hadi hapa Kenya na ndizo zinazotumika kwa operesheni ambazo siezi kuzitaja. Itakua ni kuisaliti jamii Sent...
  3. M

    Tunaotoka mkoa wa mkoa wa MARA njoo hapa

    Mbona hapa Kenya mabinti hawachukulii wakuria kama katili jinsi watanzania mnavyochukulia. Na ilhali nyinyi watanzanaia mnadai eti hamna ukabila. Kumbe heri nibaki apa Kenya nipate kuoa kabila lolote ninalolitaka kuliko kuja tz niambiwe ati kabila langu katili. Proud to be Kenya Proud to be a...
  4. M

    Tunaotoka mkoa wa mkoa wa MARA njoo hapa

    Hebu fafanua zaidi. Akina nani walipandisha bendera ya chui? Please Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Tunaotoka mkoa wa mkoa wa MARA njoo hapa

    Mtu hagechwi ovyo. Ni baada ya tukio lisilo stahimilika Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Tunaotoka mkoa wa mkoa wa MARA njoo hapa

    Mila kama zipi mura? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Nani hasa aliwaingiza Wakurya wengi Jeshini?

    Hahaha ati Kuria county. Mimi ni mkuria bana. wakuria kwa ujumla wana koo nyingi mno ambazo zinachanganya ila wa hapa Kenya zipo NNE tu, bagumbe ( bharenchoka), bakira, banyabhasi na bairege. Kisha huko Tanzania koo hizi ni nyingi alafu zimechanganyika tu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Waliofanya Utafiti huu tafadhali ndani ya Saa 24 watuombe radhi wana Mkoa wa Mara

    Kweli mura wanaezaje tuita warisia. Walai ata siamini. Labda wana uji mwingi kichwani na hao watafita wakome kuja musoma Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Umasikini ni chanzo cha ndoa za utotoni wilayani Tarime

    Pamoja mura. Hawa watu yani vitu vyote wanazungumzia sisi tu. Naona tushakua maceleb Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

    Apana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

    mura ni jina la mvulana. Kwa hivyo halitumiki kutongoza msichana. Mweseke ndilo la mabinti Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Wakurya acheni ushamba na tabia za kizamani

    Hahaha sidhani kama atarudi mzima Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Wakurya acheni ushamba na tabia za kizamani

    Aisee isiwe tabia ya mtu mmoja mkailimbikizia jamii mzima. Msichana halazimishwi kukeketwa anakwenda mwenyewe. Na kuhusu misuli, ni kutokana na mazingira ya vita vya kila wakati Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Umasikini ni chanzo cha ndoa za utotoni wilayani Tarime

    Wakuria ni wakulima hodari. Kama hapa Kenya sisi ndio tunaolisha kaunti mzima ya migori Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Hongereni Wakurya kwa hili

    Mdomo bakuli Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom