Nani hasa aliwaingiza Wakurya wengi Jeshini?

we nae ni hewa sana hujui hata kenya kuna kabira la wakurya...Mgumu na Tarime hamna kabila jingine tofaut na wakurya hao wengine ni wa kuja tu...maana kwa sasa wajaruo wanapatikana wilaya ya Rorya..
jifunze kutafta maarifa itakusaidia usipede kudhania
 
Ingawa mwandishi amewafanya mashujaa lakini wakati wa mkoloni sijasikia uwepo wa Kurya Resistance hata moko
Wakoloni walikwepa makabila korofi. Siamini kwamba mtoa mada amewakweza. Nimebahatika kutembea Tanzania, kusema kweli Mara, tena Tarime na Rolya wako imara.
Unaweza kwenda vijijini kujionea. Ila uishi nao pale muda mrefu kidogo. Ukiwaangalia juujuu hutang'amua kitu.
 
Yaani kwa jinsi wanavyoonekana wababe, kipindi cha mjerumani au muingereza wao ndo wangekuwa majemadari wa uasi dhidi ya mkoloni. Lakini walinyuti mpaka wandengereko walivyoonyesha ushujaa.
 
Wakoloni walikwepa makabila korofi. Siamini kwamba mtoa mada amewakweza. Nimebahatika kutembea Tanzania, kusema kweli Mara, tena Tarime na Rolya wako imara.
Unaweza kwenda vijijini kujionea. Ila uishi nao pale muda mrefu kidogo. Ukiwaangalia juujuu hutang'amua kitu.

..mkoloni hakukwepa makabila korofi.

..ukiona mahali mkoloni hakupaingilia ni kwasababu mahali hapo hapakuwa na rasilimali ambazo mkoloni alikuwa akizitamani.
 
Wakoloni walikwepa makabila korofi. Siamini kwamba mtoa mada amewakweza. Nimebahatika kutembea Tanzania, kusema kweli Mara, tena Tarime na Rolya wako imara.
Unaweza kwenda vijijini kujionea. Ila uishi nao pale muda mrefu kidogo. Ukiwaangalia juujuu hutang'amua kitu.
Mwambie kabisa siku moja akaishii Mara ndiyo atawajua vizuri hawa jamaa.Ukiwa mbali nao unaweza ukawa unasikia kama hadithi za kusimuliwa tu na zisizo na ukweli wowote.
 
Nimebahatika kukaa na hawa jamaa wakurya ni watu wa tofauti sana. Kwanza hawa watu ugomvi wao upo ndani. Yani asili japokuwa ukikaa nao kwa muda mrefu utafundua hawa watu ni wakarimu sana. Wanawapenda wageni wao sana. Pia mkurya hataki mambo ya kona kona. Anataka vitu straight na kila kitu kikae katika msitari wake. Wao mambo ya kimila kama kuchinja na maadili wameyaweka mbele. Mkikutana wakurya hata kama uwe na elimu ya uprofesa elimu yako unaweka pembeni kwanza mnashirikiana wote na kwa adabu. Mambo ya ushirikana kwao hayapewi nafasi kubwa sana japokuwa kila jamii yapo lakini hawayaamini sana. Wanaamini katika madawa ya kienyeji lakini sio kulogana.

Hawa watu wasikie juu juu lakini wapo vizuri sana. Heshima na nidhamu vimetawala sana kwao
 
Uko sahihi kabisa kwa jinsi ulivyowasoma na ndivyo walivyo na hicho ndicho kilichopo jeshini pia.
 
Hii iko off topic kidogo lakini ina vitu vinavyohusiana na mada hii:

Hapa nadhani kuna factions mbali mbali za wakoloni wakiingereza ambapo kila faction ilikuwa na mtu wake ambaye wangetaka awe Rais wa Tanganyika (baada ya kuona vugu vugu la uhuru kwenye nchi za Afrika haliwezi kuzuilika).
Unaweza kuona kwamba Julius aliandaliwa na faction fulani (including yule padre wake) na Oscar aliandaliwa na faction fulani (including huyo askofu wake wa kianglikana). Pia kuna faction nyingine zilikua zinataka chifu huyu au yule awe Rais.

Kidhehebu Muingereza aliwapendelea Anglicans kwanza, then Presbyterians, then Lutherans. Muingereza hakupenda wakatoliki. Walutheri alikuwa na wasi wasi nao kidogo kwamba wangependa wajerumani zaidi ya waingereza.

Nahisi hilo jeshi la Tanganyika African Rifles ambalo lilirithiwa kutoka kwa jeshi la kikoloni lilikua na waprotestanti wengi wa kianglikana na kipresbyterian. Walutheri walikuwepo ila sio wengi kama hao wengine.

Nahisi vile vile huenda kisiri siri Kambona alikua chanzo cha hiyo 1964 mutiny. Huku aki act kama ndo anawatuliza. Nimenote Job Lusinde ni muanglikana pamoja na samuel malecela. Nahisi Julius aliwatumia walutheri na presbyterians kuwatoa waanglikana kwenye jeshi. Then akatumia waislamu kuwatoa walutheri. Then akawaweka wakatoliki.

Anyway baada ya hiyo mutiny Julius alifanya maneuvering na kuwaweka wakatoliki jeshini. Akija Rais muislamu huwa anaweka watu wake lakini akitaka kuvuka kiwango fulani huwa ana meet resistance ambayo inamfanya aache huo mpango.

Ingawa Julius alishinda hii power struggle na nchi ili suffer because of him, it was a blessing in disguise. Wakati wa waprotestanti kuongoza Tanzania ulikua bado haujaja. Waprotestanti walikua na tamaa ya mali na majivuno, wakati hawakua perfect spiritually as they were supposed to be. They had to be humble na kupunguza pride yao before washike uongozi. Waanglikana walikuwa karibu na waingereza na uanglikana sometimes unafanana na ukatoliki, so huenda hakuna spiritual advantage kubwa ya Rais wa kwanza kuwa muanglikana.

Julius aliposhinda power struggle dhidi ya Sokoine (Sokoine alikuwa mkatoliki) it was a blessing in disguise. Nchi ilihitaji ahueni ya kupumzika kutoka siasa za Sokoine.

Format wanayopenda kutumia nchi kubwa ni kwamba kunakuwa na ‘rafiki’ wao namba moja (Julius) na ‘rafiki’ wao namba mbili (Oscar), ili rafiki yao namba moja asipofanya wanachotaka basi rafiki yao namba mbili anamuondoa huyo namba moja na kuwa kiongozi. Mara nyingi wanapenda rafiki yao namba moja awe boya na rafiki wao namba mbili ndo awe na madaraka ya kweli. Waingerea vile vile wameweza kuweka marais waislamu marafiki zao kwenye nchi za kiafrika e.g. magenerali wakiislamu wa Nigeria. So saa ingine wanaangalia maslahi yao na sio dini.

Nadhani kutokana na political maneuverings alizofanya Julius katika mazingira magumu na hatarishi anastahili kuwa mwenye heri wa kanisa lake. Bila ya yeye kanisa lake lingepata shida hapa nchini. Of course wengine ambao si wakatoliki (pamoja na wakatoliki wachache) wanaweza kutoa sababu za kukataa uenye heri wake.

Moja wapo ya Dilemma ya waingereza kidini ni kwamba mjerumani alishakuja Tanganyika. Since ulutheri ndio ilikua dini ya watawala wa Ujerumani (Bismark na Kaiser), Wakoloni wa kijerumani walichagua maeneo mazuri sana ya TZ (Kilimanjaro, Usambara, Arusha, Mbeya, Iringa na Kagera) na kuyafanya maeneo ya walutheri. Of course wakatoliki wakijerumani walipewa pia sehemu ya maeneo hayo. Muingereza kuja akabidi aeneze uanglikana kwenye maeneo ambayo sio mazuri sana (Dodoma etc). Ingawa aliweka makanisa pia kwenye maeneo yale ya walutheri.

Sasa the winds of change are blowing across Tanzania. Na uprotestanti umepata nguvu tena Tanzania (especially wapentekoste na walutheri). Nadhani around 1/3 to 40% ya watanzania ni waprotestanti wa madhehebu mbali mbali. Kuna dalili kwamba baada ya miaka 70 ya uhuru (2031) waprotestanti ndo wataiongoza Tanzania. Na makanisa yao ndio yatakalia kiti cha utawala Tanzania. Pia kuna uwezekano nguvu kubwa pamoja na propaganda ikatumika kuzuia hayo mabadiliko yasitokee. Kwahiyo anayejua na muamuzi wa haya ni Mungu wa Isreal mwenyewe.
 
Sioni uhusiano wa ulichokiandika na mada ya uzi huu!
 
Ina uhusiano indirectly. Asilimia kubwa (around 90%) ya Wakurya hawa belong kwenye madhehebu ambayo yalipendelewa na Waingereza. Wakurya wengi sio waprotestanti. So it is highly unlikely Waingereza waliwajaza jeshini. Alie wajaza jeshini ni Julius. Hatumkosoi Julius kwa hili, as alihitaji jeshi tiifu sana kwenye kipindi ambacho majeshi mengi ya Afrika yalikua yanafanya vurugu. Watanzania hawa mind wakurya kuwa jeshini as inaonekana wanafaa huko.

Nyirenda alikua presbyterian. Sarakikya huenda alikua mlutheri. Na kulikua na makapteni na mameja wakimeru na kimachame walutheri. Madhehebu yaliyopendelewa na waingereza (anglican, presbyterian na baadae lutheran) ndio yalitoa maofisa waliopelekwa sandhurst. Of course kwa sababu ya colonial ideology training quality ya sandhurst kwa waafrika huenda ilikua chini kuliko ya wazungu. So huenda ethnic and religious composition ya KAR/TAR na jeshi la baadae ilikua ni tofauti. Kama kuna watu ambao hawakupendelewa na waingereza walikuwa jeshini basi ilikua nafasi za chini na zisizohitaji ujuzi mkubwa wa kijeshi, na kwenye maeneo ya kijiografia ambayo sio muhimu. Waingereza, kwa sababu za kipropaganda (au divide and rule) huenda waliweka watu jeshini kutoka kwenye makundi ambayo hawa kuyapendelea.

Nahisi jeshi la mwanzo lilikua na makundi ambayo sio rafiki kwa Julius na ndio maana ilikua rahisi kuasi. Na ndio maana lilimsikiliza zaidi Kambona (muanglikana). Any way halikua jeshi zuri kwasababu lilikua limeathirika na mawazo ya kikoloni.
 
Na watawala wa kijerumani walikuwa waprotestanti. Ingawa 1/3 ya wajerumani wakati ule walikua wakatoliki. Wajerumani waliwaweka waislamu weusi kwenye jeshi lao la kikoloni. Vile vile waliweka mamluki wa kinubi, mamluki wa kimanyema, mamluki wa kizulu, vile vile watu watanga na watu wa moshi. Pia walutheri walikuwa wengi kwenye jeshi lao.
 
Narudia mara ya mwisho hakuna kabila la wakurya, Wakurya ni mkusanyiko wa makabila mbali mbali kutoka mkoa wa Mara na hilo neno wakurya ni region ipo Kenya karibu na boarder ya Tanzania ina itwa Kurya county
Hahaha ati Kuria county. Mimi ni mkuria bana. wakuria kwa ujumla wana koo nyingi mno ambazo zinachanganya ila wa hapa Kenya zipo NNE tu, bagumbe ( bharenchoka), bakira, banyabhasi na bairege. Kisha huko Tanzania koo hizi ni nyingi alafu zimechanganyika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nimeitoa Wikipedia, nilikuwa nasoma kuhusu Vita ya Kagera.
Inasema kwamba baada ya Vita kuisha baadhi ya Jamii zilikuwa na uwakilishi mkubwa mno wa watu katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania, kwa mfano; zaidi ya asilimia 50 ya Wanajeshi wote wa Tanzania walikuwa Wakurya ingawa idadi ya watu wa kabila hilo katika Nchi hii ni sawa na asilimia 1 tu.
Screenshot_20221229-091713~2.png
 
Nafasi zilikuwa 2,000 kwa kila mkoa. Wakurya walilaani kitendo hicho cha kuweka ukomo wa idadi na wakatuma wajumbe kwenda kulalamika kwa Nyerere kwamba idadi ya 2,000 ni ndogo mno kwa mkoa wa mashujaa.

8. Wazee wa mkoa wa Mara walikerwa mno na uamuzi wa Nyerere wa kuweka ukomo mwingine wa 4,000 na wakaamua kwamba dawa ni rahisi sana, kwamba vijana wao waende kwenye mikoa ambayo ilikuwa imeshindwa kufikisha idadi ya 2,000 ya awali
Sir Major wa Kombania yangu JKT; Danger Coy alikuwa anaitwa Staff Sergeant Makoba na alikuwa ni mkurya; almost alikuwa anajulikana kikosi kizima na alikuwa anaogopwa pia. Kwa kweli inabidi ubishi tuuweke pembeni ila ukweli ni kwamba mkurya ni mwanaume aliyeiva, hasa kwenye maswala ya Jeshi au vita
Afande Makobo likuwa akianza kushusha mkwara hadi anaanza kuelezea mambo ya vitani alivyokuwa akifanya mwaka 1978. Anakwambaia "usinione hivi nimepigana vitani nilikuwa natembea juu ya maiti za watu....."

Hata hivyo, kuna mtu aliwahi kunitonya kuwa hadi kufikia kipindi cha vita vya Kagera vinaanza, Nyerere alikuwa amejaza kwa wingi zaidi makabila mawili jeshini; wakurya na wahehe, na sababu iliyokuwa imemfanya afanye hivyo ni ushujaa wa makabila hayo wa kupenda zaidi vita badala ya kuogopa vita
 
Waingereza walikuwa wanachagua kazi na vipaji vya makabila?mbona zamani walinzi Wengi walikuwa wamakonde?na ombaomba kuwa wagogo Nani aligundua kipaji hiki?
 
Back
Top Bottom