Recent content by mahesa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watoto hawataki kutoka sebuleni nivae nguo

    Kwa nini usibadilishie bafuni alafu sebuleni ukapake mafuta tuuuuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sensa na makarani na wakufunzi

    Wivu ni kitu kibaya sana, hivi ungepata wewe ungeleta hizo ngonjera zako?? Kaa mkao wa kuhesabiwa ndugu....
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tunamtaka Spika Tulia aheshimu Katiba ya JMT kwa kuwaondoa bungeni Wabunge 19 wasio na chama

    Ushauri wangu kwa CHADEMA Wana mambo mengi ya kufanya kwa taifa ni bora wakomae na hizo na kuachana na ngonjera zao za kila siku wabunge 19. Kwa kifupi zinaboa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee adai kuwa na Tsh Bilioni 10 kwenye akaunti yake ya Benki

    Kwani shida ni nini???
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bar ya Picnic Arusha Kuna wizi kuanzia wahudumu, Wateja Wanawake mpaka Bodaboda Wanaopaki nje

    The picnic pana wadada wazuri sana muda wote mapaja yao meupe yapo wazi kabisa napakumbuka sana kila nikienda Arusha lazima nikadhuru pale.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Msonde alistahili kuondolewa Baraza la Mitihani (NECTA)

    Mtoa post unaonyesha ni jinsi gani ulivyokuwa kichwa maji.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polisi yatangaza kuwashikiliwa watuhumiwa 6 wa Panya Road baada ya tukio la Kunduchi

    Haki zipi kiongozi za kuua na kujerui wenzao.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kukomesha panya road Dar es Salaam kamanda Suleiman Kova aliyestaafu arudishwe kuwa RPC Dar aliwaweza hasa

    Hawa dawa yao ni matairi tu na petroli lazima akili ziwarejee
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya kupikia bei juu, Chips bei ile ile!

    Ninakoishi Mimi lita 10 ni tsh 68000/=
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kasim Majaliwa tayari umeshajikanyaga, fanya hima ukawaombe radhi wana NgoroNgoro

    Mtoa posti lazima atakuwa mmasai tu anetetea maslai yake tu au anayetafuta huruma toka kwa watu wengine
  11. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

    Mtoa post simamia kwenye msamaha mambo mengine wacha ya pite tuuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya usaliti, kwasasa inamtesa sana Halima Mdee kuliko wenzie 18

    Majungu na fitna ndio inatutawala sisi binadamu na kikubwa hatupende wengine wapate wanavyopata.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Duhuuuu Mwanza wataingia saa ngapi? Safari nduguuuu
Back
Top Bottom