Only in here, nchi ambayo tunabangaiza maisha,wengine hata tunaishi chini ya USD 1 kwa siku lakini inafikia mahali eti hata zoezi Dogo tu la kumtuma mtu kaya fulani akaandikishe idaidi ya watu nae anahitaji kupewa seminor ya takriban wiki 3 na kila siku unamlipa na mkufunzi wake unamlipa ,kweli?
Mbaya zaidi unatangaza hadharani kuwa kunamchujo et hao unao wapa hayo mafunzo ya kuhesabu watu bado cyo watu sahihi eti kutakuwa na mchujo wa mitihani na hata field na waki feli eti utawarudisha nyumbani na bado wamesha lipwa,
Kwanini nyie watu mliye pewa dhanana serikalini hamna huruma na nchi hii jamani, kweli mtu anaweza kufanya hivyo bila woga?
Lakini pia tulitegemea basi hata zoezi zima hilo linge zingatia zaidi hata kwa wale vijana wasiye na ajira ambao wapo mitaani wamemaliza vyuo,lakini waliye pewa n wenye ajira tena na mishahara mikubwa serikalini bila aibu yeyote, Daaah