- Thread starter
- #41
Wewe haya nilioleta ni ya uongo waalimu wa shule ya msingi hawasimamii mtihani skondari?! Hya form six wanafanya mitihani sasa hivi waalimu wa primary na diploma ndio wanasimamia"TANZANIA KUNA VIWANDA VYA UONGO" by Jakaya Mrisho Kikwete.
Wewe mleta mada ni muongo sana. Hayo uliyoandika huwezi hatari kuthibitisha. Acha kudhalilisha waalimu wenzio.