Recent content by MAHEPE

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Nilianza kuifutatilia ila nikaona haifai kabisa. Haiwezi kufikia viwango vya ISIDINGO. Lungi Byela na ZEB Mathabane wapo kule
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenye chuki binafsi na Makonda msitumie Mitandao ya jamii kumtenganisha na Rais Magufuli

    Bashite hafai hata wewe mwenyewe unajua hivyo labda kama amekutuma uje umteteee huku. Ndio maana akaharibu event nzuri ya Jokate ya kutokomeza zero Kisarawe kama kawaida yake mange amemuita 0 brain
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hassan Simba Yahaya: Balozi anayeaga aga kila ofisi badala ya kuripoti Zambia

    Tena nasikia aliandaa na Party ya kuagana imeota mbawa kimyakimya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, unayajua haya kuhusu serikali ya awamu 5?

    Umetumwa na nani?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kuaga Mwili wa Marehemu Philemon Ndesamburo

    Nasikia Ndio kaimu Mkuu wa Mkoa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Kwani Haruhusiwi kukata rufaaa???
  7. M

    JamiiForums Tanzania Membe amkosoa Magufuli

    Alikuwa msaidizi wa VASCO DAGAMA
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alakiwa Arusha, akiwa ndani ya nguo za Kijeshi

    Bwanda za Jeshi ndio zipi hizo?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Nakubaliana na wewe ni vizuri twende mahakamani ila tutafute kwanza status ya NICOL
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Du kAMA NI KWELI ngoja nikajiandikishe sasa ili niipigie CHADEMA
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo ITV sio zuri

    maana yake ni kufanya mapenzi na mwanamke ndio maana nasema ni vema ITV wakaondoa tangazo hilo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo ITV sio zuri

    kuna kampuni ya simu za mkononi inaitwa tiGO angalau kampuni ndiyo imesajiliwa kwa jina hilo halafa jamaa wakaanza kubadilisha maana. hili la kutusua linamaanisha kufanya mapenzi na demu. ITV ondoa hilo tangazo please
Back
Top Bottom