Hili tangazo ITV sio zuri

Hili tangazo ITV sio zuri

Neno moja laweza kuwa na maana zaidi ya moja,mfano:barabara ni njia ya kupita magar au watu,pia barabara =sawasawa au vizuri.Sasa neno tusua pia linamaana ya kuweza au fanikiwa
 
Kutusua maana yake ni kutoboa
jamaa kaondoka na Mwanamke kenda mTusua
Uko sahihi kutusua ni kutoboa lakini si kila kitu ni kitu chenye sponji kama mpira umetusuka sasa ukiangalia mambo yale ya faragha kuna kutusua pale au?
 
Neno moja laweza kuwa na maana zaidi ya moja,mfano:barabara ni njia ya kupita magar au watu,pia barabara =sawasawa au vizuri.Sasa neno tusua pia linamaana ya kuweza au fanikiwa

Litafutwe jingine mbona yenye maana ya kufanikiwa yako mengi tu,tuondoleeni uchafu wa lugha make diction inamata sana
 
Uko sahihi kutusua ni kutoboa lakini si kila kitu ni kitu chenye sponji kama mpira umetusuka sasa ukiangalia mambo yale ya faragha kuna kutusua pale au?
wewe unavyoona kile kipochi manyoya ni jiwe au sponji
ww umeshawahi kukipiga jino au kukinyonya kinabonyea kwenda mbele na ndani yake kuna majimaji
sasa unachotakiwa ni kuingiza sindano na kuKITUSUA kwisha kazi
 
Kuna Tangazo linatoka ITV la TMT linalosema mpaka utusue, mpaka kieleweke, mpaka ukome. Sasa hili neno 'mpaka utusue' maana yake nini? Kwa sisi wa miaka hiyo, hili neno lina maana mbaya, na ubaya tangazo hili mpaka watoto wanaangalia.

Ni vizuri ITV wakasitisha tangazo hili mara moja.

hata tigo kwa kizazi hiki lina maama mbaya kuliko tusua yenu
 
hata tigo kwa kizazi hiki lina maama mbaya kuliko tusua yenu

kuna kampuni ya simu za mkononi inaitwa tiGO angalau kampuni ndiyo imesajiliwa kwa jina hilo halafa jamaa wakaanza kubadilisha maana. hili la kutusua linamaanisha kufanya mapenzi na demu. ITV ondoa hilo tangazo please
 
Kwa sasa

Kutusua = kufanikiwa = kutoka = kupata ulichokitaka
 
habari! Mara nyingi umekuwa ukitumia neno Punguani kwa faida yangu naomba maana ya hilo neno.

Mbona mnatukanana badala ya kujadili hoja? Nijuavyo mimi lugha sanifu huwa inabaki pale pale, lakini kuna maneno ya msimu huwa yanabadilika kuendana na wakati. Badala ya sisi wenyewe kuanza kubishana na kuvuana nguo, ni vema tukawauliza wahusika maana halisi ya neno hilo kwa muktadha wa shughuli yao.

Single Mtambali, Yvone Cheri nyie mpo humu tafadhali tutoeni wasiwasi maana watu wazima wanatukanana humu kwa neno kutusua.

Nakumbuka nilitusua demu wa kimanga hadi leo namkumbuka, hiyo ilikuwa misemo ya enzi zetu.
 
Nini maana ya kutusua? Tukishapata maana halisi ya neno hili tujadili.Vinginevyo zitakuwa mis-interpretation tu.
Mimi naona kutusua ni kutoboa kwa kutumbukiza kitu chenye ncha kama msumari au ncha ya kisu kwenye kitu kilichojaa upepo kama mpira wa miguu au tairi la gari lililojaa upepo. Ukitoboa mara nyingi hulia tusuuuuu!!! Hata tumbo la binadamu hasa mwenye kitambi au mnyama ukitoboa litalia tusuuu!!!
 
Back
Top Bottom