Je, unayajua haya kuhusu serikali ya awamu 5?

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
222
Reaction score
695
Tangu Serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani , migomo katika shule za sekondari inayohusiana na uhaba wa chakula au vyakula vibaya katika shule za bweni imeisha kabisa.

Ikumbukwe kwamba Serikali inagharamia elimu ya bure kwa kutoa shillingi Billion 18 kila mwezi.

Pia Serikali imetoa vifaa vya maabara vyenye thamani ya Billion 16.9 katika jumla ya shule 1,696 za umma kwa awamu ya kwanza nchi nzima.

Pia tangu Serikali ya awamu ya 5 iingie madaraka ubora wa elimu katika shule za Serikali imeimarika zaidi kwa kuzishuhudia shule 3 za Serikali zikipenya 10 bora ya shule zilizofaulisha vizuri matokeo ya kidato cha sita 2017.
 
Penye udikiteita anything is possible!
 
asee mkuu umenikumbusha bwana! ujue hii migomo almost imesahaulika kabisa!
 
Tangu Serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani , migomo katika shule za sekondari inayohusiana na uhaba wa chakula au vyakula vibaya katika shule za bweni imeisha kabisa.

Ikumbukwe kwamba Serikali inagharamia elimu ya bure kwa kutoa shillingi Billion 18 kila mwezi.

Pia Serikali imetoa vifaa vya maabara vyenye thamani ya Billion 16.9 katika jumla ya shule 1,696 za umma kwa awamu ya kwanza nchi nzima.

Pia tangu Serikali ya awamu ya 5 iingie madaraka ubora wa elimu katika shule za Serikali imeimarika zaidi kwa kuzishuhudia shule 3 za Serikali zikipenya 10 bora ya shule zilizofaulisha vizuri matokeo ya kidato cha sita 2017.
Umetumwa na nani?
 
80% ya wanafunzi wa kidato cha pili ktk shule za serikali wilayan nansio visiwan ukerewe hawajui kusoma, kuandika wala kuhesabu...
....Azam 2 news 14/08/2017
Hilo nalo limetokea ktk awamu hii hii unayoisifia
.
Kipind cha nyuma yakitangazwa matokeo ya kidato cha sita utakuta shule za Ilboru, Kibaha, Mzumbe, Kilakala nk zikitawala top 5...
Leo tuna shule 3 tu za serikali kwny top10 mtu anatuletea countdown fact kana kwamba tumetia fora kwa kufaulisha!!!!
jamaaan tuwe serious kidogo
 
Je wajua kwamba bajeti ya mikopo chuo kikuu ni ndogo ukilinganisha na miaka ya nyuma? Huku idadi ya wahitaji ikiwa ni kubwa kuliko miaka iliyopita?

Serikali inasaidia chini ambako hakuna gharama (inastahili pongezi), lakini ukifika juu ni shida tupu na ubaguzi uliotukuka. Serikali ya vi-wonder inajali science tu na term hii itakuwa shida mara mbili ya ile ya last year!

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba imeisha we fanya utafiti sio mijin tu na shule za vijijini na vyuo utagundua sio kila kitu kipo sawasawa bali wanaogopa yeyote atakaegoma atakutana na nguvu ya dola hivyo wanavumilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na kupokea ripoti za Twaweza. Tulikua kwenye project ya chuo kuangalia jinsi shule zilivyojizatiti baada ya kutakiwa kusubiri pesa ya serikali.

Mkuu akasema "Huu mpango ambaye hayupo ndani atauona mzuri lakini sisi tunaoicheza ngoma tunaona mapengo yake mfano wametangaza bajeti lakini kiasi kinachokuja sicho kilichotangazwa, ukigewa pesa ukaonyesha kuna chenji wao wataassume uligewa kuzidi hivyo wakati ujao unagewa kiwango ulichoonesha umetumia"

Akaendelea "Na hiki kitu sijui kwanini waandishi wanashindwa kufuatilia. Hapa sisi tulimchukua mwananchi amemaliza chuo atufundishie Hesabu wazazi wakawa wanachangia sasa hivi Afisa Elimu anakwambia huko ni kuwachangisha wazazi na serikali imekataa, ninavyoongea na nyinyi watoto hawajasoma hesabu zaidi ya miezi miwili"

Mi hoi.
 
Tangu Serikali ya awamu ya 5 iingie madarakani , migomo katika shule za sekondari inayohusiana na uhaba wa chakula au vyakula vibaya katika shule za bweni imeisha kabisa.

Ikumbukwe kwamba Serikali inagharamia elimu ya bure kwa kutoa shillingi Billion 18 kila mwezi.

Pia Serikali imetoa vifaa vya maabara vyenye thamani ya Billion 16.9 katika jumla ya shule 1,696 za umma kwa awamu ya kwanza nchi nzima.

Pia tangu Serikali ya awamu ya 5 iingie madaraka ubora wa elimu katika shule za Serikali imeimarika zaidi kwa kuzishuhudia shule 3 za Serikali zikipenya 10 bora ya shule zilizofaulisha vizuri matokeo ya kidato cha sita 2017.
tapatalk_1493142723102.jpeg

tapatalk_1493142716588.jpeg

tapatalk_1493142719185.jpeg
 
80% ya wanafunzi wa kidato cha pili ktk shule za serikali wilayan nansio visiwan ukerewe hawajui kusoma, kuandika wala kuhesabu...
....Azam 2 news 14/08/2017
Hilo nalo limetokea ktk awamu hii hii unayoisifia
.
Kipind cha nyuma yakitangazwa matokeo ya kidato cha sita utakuta shule za Ilboru, Kibaha, Mzumbe, Kilakala nk zikitawala top 5...
Leo tuna shule 3 tu za serikali kwny top10 mtu anatuletea countdown fact kana kwamba tumetia fora kwa kufaulisha!!!!
jamaaan tuwe serious kidogo
Haya mambo yanahitaji upana wa fikra, tena fikra huru.
Kuna shule Shinyanga waligoma, tena kutaka tu mwalimu wao kipenzi arudishwe, hawakutulizwa na waalimu wala maafisa wa elimu, walichezea virungu vya polosi bila huruma. Hili mwandishe hakuliona maana ilikuwa awamu ya kwanza nae alikuwa hajaliwa.
Wakati nasoma shule niliona shairi linaitwa KASUKU, kama sijalisahau tittle yake.
Ila dhima yake ni kuojesha jinsi watu wanavyolazimika kurudia maneno yenye kuipongeza serikali, sasa kumbe shairi hili liko hai bado.
Udikiteta noooooomah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom