Recent content by MAHELO. E.B

  1. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Bado nipo Arusha, bata limeninogea

    TUNAANIKA NA KUWEKA HADHARANI MTANDAO NA SAFU YA WAHUSIKA WA UTAPELI, UNYAG’ANYI NA UPOKONYAJI DHALIMU (VITENDO VYA UHALIFU/JINAI) WA NYUMBA YA MJANE PRUKERIA PONCIAN BALILEMWA, MALI YA MUMEWE MAREHEMU PONCIAN P. BALILEMWA KIWANJA NA. 95 KITALU G, CT. NO. 1151 KATA YA NYAMANORO JIJINI MWANZA KWA...
  2. MAHELO. E.B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta apitisha Muswada wa Sheria ya Uhalifu wa Mtandaoni; faini hadi Kshs. milioni 5 kwa habari ya uongo

    TUNAANIKA NA KUWEKA HADHARANI MTANDAO NA SAFU YA WAHUSIKA WA UTAPELI, UNYAG’ANYI NA UPOKONYAJI DHALIMU (VITENDO VYA UHALIFU/JINAI) WA NYUMBA YA MJANE PRUKERIA PONCIAN BALILEMWA, MALI YA MUMEWE MAREHEMU PONCIAN P. BALILEMWA KIWANJA NA. 95 KITALU G, CT. NO. 1151 KATA YA NYAMANORO JIJINI MWANZA KWA...
  3. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema kuwa Mbowe hana shahada ya chuo kikuu

    Sidhani kama ni sahihi kuchanganya elimu ya chuo kikuu na uwezo wa mtu kufanya kazi! Jamii inatazama zaidi uwezo wa mtu kufanya kazi na sio elimu.
  4. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Ofa: Punguzo la bei

    Pata Ofa ya PuNgUzO la BEI ya KITABU. Pata kitabu cha COMMUNICATION SKILLS FOR ALL LEVES kilichoandikwa na E.B. Mahelo kwa ghalama ya 6,000.00 tu badala ya 10,000.00 kama ilivyokuwa awali. Ofa hii itaisha tarehe 03.03.2014. Tembelea maduka yauzayo vitabu au piga simu na: 0756293024 au...
  5. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Waziri Maghembe: "TANESCO, ukiritimba too much"

    Sitaki kuamini kama TANESCO yetu thabiti inakera kiasi hicho. Suala la kutuunguzia vifaa vya ndani kama vile TV, RADIO, FENI, JOKOFU, FRIJI n.k, imekuwa ni jambo la kawaida huku kwetu. Unapouhoji uongozi unaambiwa umeme umejiongeza nguvu. Kinachonishangaza zaidi ni kwamba, suala la kujiresi...
  6. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu

    Hivi ni kweli maisha ya Mwanadamu hubadirika kama vile Kinyonga abadilishavyo rangi kutokana na mazingira aliyomo? Jaribu kutazama tulipotoka, tulipo sasa na tunapokwenda katika nyanja mbalimbali.
  7. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Big results now

    Sure man, coz what i know every sector has its own plans no matter is long or short plan. And all that plans lead in improving such sector. The slogan of Big Results Now it's like defining the colour of water while every one knows that water has no colour.
  8. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Big results now

    what's up guys around tanzania! I'm asking your help about the slogan "big results now". For sure, i am lost. What are the specific objectives of the slogan that differs from that we had before? Try to consider each sector.
  9. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kuwa pesa ina nguvu kuliko sheria

    I know that no research no right to speak. But for what happened on this case, even a blind one can comment something.
  10. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kuwa pesa ina nguvu kuliko sheria

    Inatisha ndugu. Ila naamini kwamba malipo ni hapa hapa duniani.
  11. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kuwa pesa ina nguvu kuliko sheria

    SITAKI KUAMINI KUWA PESA INA NGUVU KULIKO SHERIA. Inasikitisha kuona watuhumiwa dhidi ya MAUAJI ya Bi. Stephano Bahati (14/05/2010), aliyekuwa Katibu wa CCM kata ya Isamilo jijini Mwanza wote wameachiwa huru leo tarehe 11/10/2013. Kibaya zaidi aliyekamatwa (kwa jina Jumanne Osca) akikimbia...
  12. MAHELO. E.B

  13. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kuwa pesa ina nguvu kuliko sheria

    Hiyo kweli kiongozi. Kwa hali hii ni hatari. Tutafika ila tutakuwa tumechoka sana kwani ipo siku sheria itasimama kama sheria.
  14. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kuwa pesa ina nguvu kuliko sheria

    Inasikitisha, watuhumiwa dhidi ya MAUAJI ya Stephano Bahati (14/05/2010), aliyekuwa Katibu wa CCM kata ya Isamilo jijini Mwanza wote wameachiwa huru. Kibaya zaidi aliyekamatwa (Jumanne Osca) akikimbia baada ya mauaji hayo nae kaachiwa huru baada ya Jaji kukataa ushahidi wa Mkemia wa serikali...
  15. MAHELO. E.B

    JamiiForums Tanzania Mikataba Tanzania

    Mikataba mbalimbali inayosainiwa na viongozi wetu hapa nchini ipo kwa masilahi ya viongozi wenyenyewe au kwa masilahi ya wananchi? Na kama ni kwa masilahi ya sisi wananchi, kwa nini mikataba hiyo haiwekwi kwenye magazeti ya serikali ili nasi wananchi tukaisoma na kuielewa vizuri kabla ya...
Back
Top Bottom