Mwanadamu

Mwanadamu

MAHELO. E.B

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
27
Reaction score
6
Hivi ni kweli maisha ya Mwanadamu hubadirika kama vile Kinyonga abadilishavyo rangi kutokana na mazingira aliyomo? Jaribu kutazama tulipotoka, tulipo sasa na tunapokwenda katika nyanja mbalimbali.
 
mwanadamu abadiliki ni yule yule wa jana na leo sema amevaa nguo nyingine.
 
Ni kweli mkuu make tumesha shuhudiana mara kibao!!
 
Back
Top Bottom