Waziri Maghembe: "TANESCO, ukiritimba too much"

Nahisi kuna watoto wanachezea umeme TANESCO
Ni kweli, kuna wanafunzi tisa wapo kwenye mazoezi viwandani (PT) aka field hapo TANESCO. Juzi walikuwa wanafundishwa namna ya kukata umeme, jana wakaanza kujaribiwa mmoja mmoja kama wameelewa, kwa hiyo jana ilikuwa zamu ya mwanafunzi wa kwanza kujaribiwa. Leo ni mapumziko, wa pili ataendelea kesho hadi waishe wote, ila kunaweza kukawa na interval fulani kati ya mwanafunzi mmoja hadi mwingine kuepusha malalamiko
 
mchezo huo umeshaniunguzia tv. Kwenda kuulizia spea yake kwa product authorized dealer-laki nne!
 
Utafikiri wahandisi wamefukuzwa kazi huko TANESCO? Kama umeme hautoshi wanawasha wa nini? Kwani kila ukikatika wanawasha halafu unakatika tena. Wao wana vipimo vyo kujua huu umeme unatosha au la. Hakuna sababu ya kutupatia umeme unaokatikakatika.
 
Ni kweli, kuna wanafunzi tisa wapo kwenye mazoezi viwandani (PT) aka field hapo TANESCO. Juzi walikuwa wanafundishwa namna ya kukata umeme, jana wakaanza kujaribiwa mmoja mmoja kama wameelewa, kwa hiyo jana ilikuwa zamu ya mwanafunzi wa kwanza kujaribiwa. Leo ni mapumziko, wa pili ataendelea kesho hadi waishe wote, ila kunaweza kukawa na interval fulani kati ya mwanafunzi mmoja hadi mwingine kuepusha malalamiko

hiyo kali kwani huko ulaya huwa hakuna mafunzo kama hayo? nimekaa huko mwaka mzima sikuwahi kuona umeme wala maji umekatika hata kwa dakika haijawahi kutokea. Nadhani hata huko wanafunzi wa field wapo pia, sidhani kama ni sababu ya kutosha.
 
Huku kwetu toka jana umeme unakatika katika mara kwa mara almost kila baada ya dakika tano na kurudi. hakika huu sio mgawo maana ni kama mtu anawasha na kuzima, mpaka nahisi kama kuna watoto wanachezea yaani wanawasha na kuzima. Migawo yote ya umeme haijawahi kutokea wa namna hii. tanesco vipi?

Mkuu huna haja ya kushangaa haka kamchezo! Huo ni sehemu ya mpango mkakati wa Symbion et al kuinukisha TANESCO kwa wananchi ili hatimae inunuliwe kwa bei ya kutupa! Huu mchezo wamefanya kwenye nchi nyingi sana duniani na wamefanikiwa kwa asilimia mia moja na ushee... haiingii akilini TANESCO inaendelea kuwalipa Symbion et al kila siku kiasi cha Tsh 152 Milioni bila hata ya kuzalisha umeme...Mark my word TANESCO itachukuliwa na Symbion very soon...
 
salasala umeme toka juzi (ijumaa) unakatika saa 12 asubuhi na kurudi mida ya saa 1:30 jioni,leo wamekata saa 11 alfajiri!!mpaka sasa kimya!!
 
mchezo huo umeshaniunguzia tv. Kwenda kuulizia spea yake kwa product authorized dealer-laki nne!

Mkuu itabidi Tanesco wakulipe,lakini uwe na uthibitisho kuwa umeme ndo kisababishi cha kuungua luninga yako.
 
Mkuu huna haja ya kushangaa haka kamchezo! Huo ni sehemu ya mpango mkakati wa Symbion et al kuinukisha TANESCO kwa wananchi ili hatimae inunuliwe kwa bei ya kutupa! Huu mchezo wamefanya kwenye nchi nyingi sana duniani na wamefanikiwa kwa asilimia mia moja na ushee... haiingii akilini TANESCO inaendelea kuwalipa Symbion et al kila siku kiasi cha Tsh 152 Milioni bila hata ya kuzalisha umeme...Mark my word TANESCO itachukuliwa na Symbion very soon...

hii nchi inahujumiwa kila mahali sijui tutaponea wapi
 
Mkuu itabidi Tanesco wakulipe,lakini uwe na uthibitisho kuwa umeme ndo kisababishi cha kuungua luninga yako.

Sijawai kuona hao jamaa wanalipa kutokana na madhara ya umeme!,hata kama nyumba itaungua wapo juu ya dari watakataa tu,ajabu watakuambia kuwa waliokufungia nyaya ndiyo tatizo hata kama short imeanzia kwenye nguzo na nguzo kuteketea watapindisha ukweli,kiufupi siwaelewi kabisa hao tanesco,itakuwa ni sera yao kukataa kulipa.
 
Sitaki kuamini kama TANESCO yetu thabiti inakera kiasi hicho. Suala la kutuunguzia vifaa vya ndani kama vile TV, RADIO, FENI, JOKOFU, FRIJI n.k, imekuwa ni jambo la kawaida huku kwetu. Unapouhoji uongozi unaambiwa umeme umejiongeza nguvu. Kinachonishangaza zaidi ni kwamba, suala la kujiresi akiri limeingia hadi kwenye mitambo yetu ya UMEME au tunakomoana kwa kuunguziana vitu majumbani ajiri tunakuwa wabishi wa kilipa hizi bili kandamizi za umeme!!!
Tutawalipeni tu hata kwa kukung’uta mifuko yetu ili tubakize ziro senti, haina haja ya kutuunguzia vifaa vyetu vitumiavyo umeme majumbani na maofisini. Pia tuamini kwamba chenye mwanzo hugota mwisho.
 
Back
Top Bottom