Mikataba Tanzania

Mikataba Tanzania

MAHELO. E.B

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
27
Reaction score
6
Mikataba mbalimbali inayosainiwa na viongozi wetu hapa nchini ipo kwa masilahi ya viongozi wenyenyewe au kwa masilahi

ya wananchi?

Na kama ni kwa masilahi ya sisi wananchi, kwa nini mikataba hiyo haiwekwi kwenye magazeti ya serikali ili nasi wananchi

tukaisoma na kuielewa vizuri kabla ya kusainiwa?
 
Mkataba ni siri kati ya wawekezaji na mafisadi ndani ya serikali!!
 
Mkataba ni siri kati ya wawekezaji na mafisadi ndani ya serikali!! Ndio maana tunahitaji Katiba mpya itakayorekebisha mambo hayo na ndo maana ccm inapiga vita sana vipengele vya maadali, uwazi, ukweli visiwepo katika katiba mpya!
 
Back
Top Bottom